Hata kama wataenda na kasi hii bado mimi naona mpaka mwisho wa September huenda Donetsk, Kherson zitakuwa mkononi mwa Ukraine.Mkuu kulingana na tathmini ya idara ya kijasusi ya Ukraine wanasema mwezi huu tusitarajie mambo makubwa, mwezi october ndio dunia itashangazwa na ukraine na anasema kufikia mwezi december kutakuwa na mapigani kidogo sana wakati anatarajia ifikapo 2023 urusi atakuwa kasharudi nyumbani kwa aibu mkuu.
Fashist ameweka nguvu kubwa mkoa wa Luhansk na Kharkiv. By December wanaume watasherehekea Christimas kwenye viti virefu.
Labda kama una maana kwamba 2023 watakuwa wameshaikomboa Crimea.