Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hio ndo sifa ya Bushmaster tuliyopewa na Australia kusafirisha Wanajeshi wetu Frontline. Wanajeshi wa Urusi waliishambulia lakini hakuna risasi aliyopenya wala hakuna Wanajeshi wa Urusi alofariki. Sasa ipo Hereji itarudi Frontline baada ya wiki. Haya Magari imara. Australia walitupa haya magari 60. Ukitaka kununua, gharama ya gari moja ni $60.9 million
Your browser is not able to display this video.
 
Halafu hawa wajinga walishasema kuwa HIMARS hazina lolote hazipigi target, halafu wakaja na nyingine eti zimepigwa zote!!! Sasa wamekuja na mpya!!! Nawashangaa!
 
Kwa wale wasiojua jua ndege aina ya Sukhoi Su-30 zilizolipuliwa
View attachment 2320550View attachment 2320551
Inaaminika Hii ni hasara kubwa saana kwa jeshi la Russia. Zaidi ya dola million $400 zimetekea pamoja na marubani wengi ambao ni kazi kuwatengeneza saana.

It's a deep wound kwa Mrusia kupoteza airbase nzima kwenye zone ya mpinzani asiekuwa na airbase eneo Hilo.

It's sad [emoji22]
 
Mrusi hataki kukubali. Anadai ni hitilafu ilitokea bahati mbaya
 
"Ukweli ni kwamba hii ni ardhi yetu, hii ni nchi yetu, watoto wetu ni Urithi wetu, Tutawalinda". By Zelensky
View attachment 2320557
Yap! Hayo ndo matamshi na maneno yanayotakiwa yatoke kinywani mwa kiongozi mzalendo. Sio eti tutaisambaratisha Ukraine ndani ya masaa 72 au nazionya nchi yoyote isithubutu kuingilia .......... . Huo ni ujinga mtupu -ona sasa anatema damu mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…