Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii Video nimeipenda sababu Urusi walirusha Helkopta yao kwa Mbwembwe nyingi na mavideo kibao. Ikaja kuishia Mikononi mwa Azov🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi ni wanajeshi wa ajabu, mwenzao akiumia hawarudi nyuma kumsaidia. Hapa walishambuliwa na drone ya Ukraine View attachment 2326398
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata ungelikuwa wewe figganigga vitu vinakuijia juu ya utosini utasimama kumsaidia mwenzako.

Hizi Drones ikipiga inasema next kabla hata ya kumwangalia usoni anavyougulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hii ndo Silaha initwa Vilkha. Ni Multiple Launch Rocket System (MLRS) ambayo inatengenezwa Ukraine. Ni mfumo wa kombora wa silaha ya milimita 300. Inabeba Missiles 12 na inaweza kupiga umbali wa Km 130.
Your browser is not able to display this video.
 
ANGALIZO: Ili kuangalia Video kwa Uzuri, bonyeza hii alama. Yaani utaona hadi sindano. Huna sababu ya kuzoom maandishi. Just bonyeza hapa. Kwa wale wanaotumia simu
 
Urusi wanaogopa Vita nje ya makazi ya watu. Warusi wanavaa nguo mbilimbili. Kombati na nguo za kuraia. Wakizidiwa wanavua magwanda wanabaki na nguo za kiraia then wanajichanganya na watu. Ndo maana Mashambulizi yao yanaanzia makazi ya watu. Mkijibu mnaua wazee na watoto.
 
Huyu anayeelezea ni Mrusi, kwamba tunaenda kuwaangamiza Ukraine. Lakini walipofika wote wakadondoshwa. Hii inaitwa Before and after 🀣🀣
Mbwembwe zote hizo kumbe waliogeuzwa kuwa mizoga.
 
🀣🀣🀣Mrusi ukimteka anakuwa mpole sana
View attachment 2326523
Hapo wanaume wana uwezo wa kumfanya chochote, lazima awe mpole. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yuko tayari kuf.......rwa ili mradi tu wasimΓΉue. Nani hapendi maisha πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hivi wale chechnya waliokuwa wanasaidia Rusia waliishia wapi siwasikii tena
Mizoga ya kirusi ilivyozagaa mapori ya Ukraine nani atie pua Chief? Mwanzoni wali underestimate power za jeshi la Ukraine wakaja gundua kina kirefu wanaingizwa mkenge na fashisti.
 
Kwa hiyo anayeelezea huyo ni mrusi
Sijaelewa kabisa.
Mm nimeelewa kwamba yule jamaa aliyevaa kiraia na anaonesha mbwembwe za kusifia au majigambo ni Mrusi. Ila baadaye nimeona screpa ya Helikopta. Most probably ndo hiyohiyo chopa.
 
Mrusi ni mwoga kama kunguru. Ila kwa kweli aisee, ukikutana na nyuso hizo 4 hapo juu lazima kamkojo kimbele-mbele kakutoke kabla ujasema shikamoo.
 
Wapo, watafute wanajiita TIKTOK. Kwani huwa hampeani habari za wanaosaidia Russia?
Hao wanaodaiwa kuisaidia Russia ni waongo mno na wazushi. Cjui wenzangu lakini mm hua sinaga time nao kupoteza bure kifurushi changu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…