Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi wale chechnya waliokuwa wanasaidia Rusia waliishia wapi siwasikii tena
Wenzao wanakandamizwa hivo watadhubutu kwenda. Msikie tu HIMARS na M270 MLRS kwenye radio siyo kuwaona live wakiwa wanafanya vitu vyao. Bodo Drones zinavyowadonoa.

Acha kabisa, hata ungekuwa wewe usingedhubutu kabisa kupeleka pua pale na kugeuzwa kuwa mbolea. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mizoga ya kirusi ilivyozagaa mapori ya Ukraine nani atie pua Chief? Mwanzoni wali underestimate power za jeshi la Ukraine wakaja gundua kina kirefu wanaingizwa mkenge na fashisti.
Fashist kashajua kuwa vita ile anashindwa tena kwa aibu kubwa na atafurushwa Crimea.

Huenda labda ana mpango wa kupunguza jeshi lake kwa kuisaidia Ukraine kuwa na mbolea ya kutosha.

Putin angekuwa na akili ange-withdraw troops kwa kisingizio cha millitary operation imefanikiwa na imefikia Lengo. Hapo angepata aibu kuliko fedheha atakayoipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…