Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kwa Ukraine vita ndo inaanza. Urusi walisema wataiteka Kyiv ndani ya siku 3, na kubadilisha Utawala ndani ya siku 7. Kisho inafika siku ya 180,Urusi hawajafika popote. Wanaonea mikoa ya mipakani tu.

Kwa taarifa, Ukraine wabatrain maruban wapya nchini Marekani kabka ya kuja kuanza mashambulizi ya anga kwa ndege za kisasa
Your browser is not able to display this video.
 
Unaambiwa Gwaride la mwaka huu la Ukraine watatumia vifaa vya Urusi vilivyotekwa. Nasubiri kwa hamu. Vifaru vilivyotekwa vya Urusi zaidi ya 490 vimeshawasili mjini
Your browser is not able to display this video.
 
Wiki hii imekuwa nzuri kwa Ukraine. Urusi wamebaki mdomo wazi. Nina Video Zaidi ya 300 za kupost ila muda mchache. Urusi wamechakazwa, vifaa jeshi vimetekwa, wamekufa, waneretreat, Maghala yao tunayamaliza muda si mrefu. Hapa ni Chernobaivka, mkoani Kherson ghala limekwenda na maji
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni Kyiv na hivi ni vifaa vya kijeshi vya Urusi vilivyotekwa ambavyo vimeletwa kwenye maonesho. Wananchi wanaruhusiwa kupiga selfie kuendesha nk.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa ni wafungwa wa Urusi walioletwa kwenye vita dhidi ya Ukraine. Wao hawataki. Wakigoma kwenda Frontline wanawaua. Wanasema hawana sababu ya kuua wana Ukraine. Tatizo walipo kuna Azov, wanaogopa kujisalimisha
Your browser is not able to display this video.
 
Wananchi wa Ukraine wakishuhudia Vifaru vya Urusi vilivyokujakuwaua ila vikatekwa na majeshi ya Ukraine. Vipo kwenye maonesho
View attachment 2330800
Yeah. Ni hatua au kitendo kizuri sana kuonesha wananchi silaha (Vifaru) vilivyokuwa vimekusudia kuja kuwaua kwani hilo litawaamshia ari na moyo wa kulipenda na kulienzi jeshi lao linaloendelea bado kuwapigania na kuhakikisha usalama wao na mali zao na Ustawi wa nchi yao kwa ujumla. Jeshi litapata Moral support kubwa ya Wananchi.
 
Hawa ni wafungwa wa Urusi walioletwa kwenye vita dhidi ya Ukraine. Wao hawataki. Wakigoma kwenda Frontline wanawaua. Wanasema hawana sababu ya kuua wana Ukraine. Tatizo walipo kuna Azov, wanaogopa kujisalimisha
View attachment 2330851
Daah! Kama kuna uwezekano AZOV waombwe kwa namna ya kipekee wasiwaue hao endapo watawateka.
 
Unaambiwa Gwaride la mwaka huu la Ukraine watatumia vifaa vya Urusi vilivyotekwa. Nasubiri kwa hamu. Vifaru vilivyotekwa vya Urusi zaidi ya 490 vimeshawasili mjini
View attachment 2330832
Kwa HASIRA KALI walizonazo Wananchi wa Ukraine dhidi ya chochote cha Mrusi inabidi kuwekwe ulinzi mkali kwa sababu Wana-Ukraine wenye hasira kali wanaweza kuvipiga hata kwa mawe ilimradi tu watoe usongo dhidi ya Mrusi.
 
Hii ndo Video ya kwanza ya Bayraktar TB-2 "Vanagas" UCAV tulopewa ba Lithuan. Hapa iliwalenga Warusi na vifaa vyao. Angalia Warusi wanavyo tambaa🤣🤣. Kombora moja tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Kituo cha Mawasilino cha satellite aina ya Auriga-1.2V kimeharibiwa vibaya na COTS UAV ya Ukraine. Kazi ya hiki kituo ilikua kuunganisha mawasiliano ya Frontline ya Urusi. Kutengeneza vituo hivi ni gharama sana.. So Urusi wamepoteza kitu cha thamani
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…