figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,221
Angalia Warusi walivyo jisalimisha. Hawataki kupigana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami Niliogopa kuuliza whereabouts baada ya kuona Mwezeshaji wetu kawa kimya siku 2 lakini sasa Nafurahi kumbe yu mzima buheri wa afya.Nikajua washakuteka
Yeah. Ni hatua au kitendo kizuri sana kuonesha wananchi silaha (Vifaru) vilivyokuwa vimekusudia kuja kuwaua kwani hilo litawaamshia ari na moyo wa kulipenda na kulienzi jeshi lao linaloendelea bado kuwapigania na kuhakikisha usalama wao na mali zao na Ustawi wa nchi yao kwa ujumla. Jeshi litapata Moral support kubwa ya Wananchi.Wananchi wa Ukraine wakishuhudia Vifaru vya Urusi vilivyokujakuwaua ila vikatekwa na majeshi ya Ukraine. Vipo kwenye maonesho
View attachment 2330800
Aisee! Hatari kweli.
Daah! Kama kuna uwezekano AZOV waombwe kwa namna ya kipekee wasiwaue hao endapo watawateka.Hawa ni wafungwa wa Urusi walioletwa kwenye vita dhidi ya Ukraine. Wao hawataki. Wakigoma kwenda Frontline wanawaua. Wanasema hawana sababu ya kuua wana Ukraine. Tatizo walipo kuna Azov, wanaogopa kujisalimisha
View attachment 2330851
Mkuu hivi hizi update za ndani kabisa unazitolea wapi?? Naweza pata link na mm niwe nafatiliaWakati Urusi wakati wa Mapumziko wanalewa, Azov wakati wa Mapumziko wanacheza ngumi. Azov vijana wasio na kanuni wapo Vizuri
View attachment 2301944
Kwa HASIRA KALI walizonazo Wananchi wa Ukraine dhidi ya chochote cha Mrusi inabidi kuwekwe ulinzi mkali kwa sababu Wana-Ukraine wenye hasira kali wanaweza kuvipiga hata kwa mawe ilimradi tu watoe usongo dhidi ya Mrusi.Unaambiwa Gwaride la mwaka huu la Ukraine watatumia vifaa vya Urusi vilivyotekwa. Nasubiri kwa hamu. Vifaru vilivyotekwa vya Urusi zaidi ya 490 vimeshawasili mjini
View attachment 2330832
Ukraine. Kwani hapa hufuatilii? Ukitaka ufuatilie Vizuri Vita.. Nenda Frontline Izyum au hata Kherson tu ili ujipime utafuatilia kwa siku ngapiMkuu hivi hizi update za ndani kabisa unazitolea wapi?? Naweza pata link na mm niwe nafatilia
Ni jibu zuri lisilo na mawaaa 😂😂😂😂Ukraine. Kwani hapa hufuatilii? Ukitaka ufuatilie Vizuri Vita.. Nenda Frontline Izyum au hata Kherson tu ili ujipime utafuatilia kwa siku ngapi