Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine. Kwani hapa hufuatilii? Ukitaka ufuatilie Vizuri Vita.. Nenda Frontline Izyum au hata Kherson tu ili ujipime utafuatilia kwa siku ngapi
HahaHaa. Atadai eti hana nauli, na Ajira za wanajeshi wa kupigana upande wa Ukraine eti hana vigezo.
 
Mambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.

Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.

Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
Mkuu, tunakuomba basi wewe utupostie vitu vya ukweli na ambavyo sio propaganda.
Na kama kinachoendelea ni tofauti na kinachopostiwa humu, walau leta basi kile HALISI kinachoendelea au thibitisha pasi na shaka kwamba hii ni propaganda kama zile za Magharibi. Usikae pembeni na kutoa lawama tu bila kufanya kitu. Leta True report nasi tutaisoma hapa.
Aidha, Mrusi kukubali kushindwa ni Utashi wake binafsi. Usimuamulie. Lakini Bro; si umewahi ona watu(Binadamu) wakigombana au kupigana ngumi kwa hasira kali. Je, kuna anayekubali kwamba ameshindwa?? Mbona kila mmoja anatafuta vijisababu - "Oh wasingenishika leo ningemmaliza" Oh aombe watu wameingilia kati angenitambua n.k.
Unafikiri Mrusi anacheza mbali na hilo? Ni hayo tu mzee wangu wa Kupambania.
 
Mambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.

Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.

Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
Mwenzako analeta picha na video hata kama ni propaganda ila tunaona, Sasa ww umeandika taarabu unataka tukuamini? Jaribu kuwa serious japo kidgo mkuu
 
Wananchi wa Ukraine wakiimba nyimbo za Uzalendo na hamasa kuelekea siku ya Uhuru wa Ukraine tarehe 24. Vifaru vya Urusi zilivyotekwa vimesambazwa kwenye mitaa ya Kyiv wananchi wapige navyo picha. Wananchi wana muamko, kwani wanakesha wakiimba Mrusi apigwe
View attachment 2332014
HahaHaa. Ikishindikana namna nyingine ya kuonesha HASIRA zao dhidi ya Mrusi; basi Wana-Ukraine watavitemea walau mate hivo vifaru vya Urussi.
Imeelezwa Urusi hawasongi mbele sababu ya kupungukiwa Silaha na risasi. Na hakina njia ya kuleta mzigo tena kwani HIMARS inalipua.
View attachment 2332016
Naam. Sasa nadhani wanamtambua HIMARS na kumpa heshima anayostahili.
Kidomo-domo cha Mrusi kwishney.
 
Hadi raha, unaswagwa huku, unatanguliziwa kitu unakutana nacho. Mwisho wa ubaya ni ubaya tu. Dŕone zinawatesa sana.
Na mbado. Nimesikia zinakuja zile nyingine zinazodumu masaa 6 angani zikiwinda washenzi.
 
Mambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.

Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.

Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
Kaanzishe uzi wako
 
Back
Top Bottom