Hadi raha, unaswagwa huku, unatanguliziwa kitu unakutana nacho. Mwisho wa ubaya ni ubaya tu. Dŕone zinawatesa sana.Welcome to Ukraine
View attachment 2332002
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi raha, unaswagwa huku, unatanguliziwa kitu unakutana nacho. Mwisho wa ubaya ni ubaya tu. Dŕone zinawatesa sana.Welcome to Ukraine
View attachment 2332002
HahaHaa. Atadai eti hana nauli, na Ajira za wanajeshi wa kupigana upande wa Ukraine eti hana vigezo.Ukraine. Kwani hapa hufuatilii? Ukitaka ufuatilie Vizuri Vita.. Nenda Frontline Izyum au hata Kherson tu ili ujipime utafuatilia kwa siku ngapi
Aisee, hiyo kitu ni moto wa kuotea mbali. Kha!Hii ndo Video ya kwanza ya Bayraktar TB-2 "Vanagas" UCAV tulopewa ba Lithuan. Hapa iliwalenga Warusi na vifaa vyao. Angalia Warusi wanavyo tambaa🤣🤣. Kombora moja tu.
View attachment 2331956
Utadhani ni guitar la rhythm 😂 kumbe ni kitu kikali.Hii ni Silaha ya kimarekani ya kudondoaha drones za Urusi. Sema wanazioperate wenyewe Wamarekani
View attachment 2331957View attachment 2331958
Drone Defender V2
Kwwhyo ww nawe unasemaje au PRO RUSSIA WEWEMambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.
Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.
Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
Mkuu, tunakuomba basi wewe utupostie vitu vya ukweli na ambavyo sio propaganda.Mambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.
Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.
Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
Mwenzako analeta picha na video hata kama ni propaganda ila tunaona, Sasa ww umeandika taarabu unataka tukuamini? Jaribu kuwa serious japo kidgo mkuuMambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.
Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.
Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
Duu mtu anapigwa anaona hadi ubwabwa aliokula jana. Achilia mbali maini yake 😂😂😂😂
HahaHaa. Ikishindikana namna nyingine ya kuonesha HASIRA zao dhidi ya Mrusi; basi Wana-Ukraine watavitemea walau mate hivo vifaru vya Urussi.Wananchi wa Ukraine wakiimba nyimbo za Uzalendo na hamasa kuelekea siku ya Uhuru wa Ukraine tarehe 24. Vifaru vya Urusi zilivyotekwa vimesambazwa kwenye mitaa ya Kyiv wananchi wapige navyo picha. Wananchi wana muamko, kwani wanakesha wakiimba Mrusi apigwe
View attachment 2332014
Naam. Sasa nadhani wanamtambua HIMARS na kumpa heshima anayostahili.Imeelezwa Urusi hawasongi mbele sababu ya kupungukiwa Silaha na risasi. Na hakina njia ya kuleta mzigo tena kwani HIMARS inalipua.
View attachment 2332016
Na mbado. Nimesikia zinakuja zile nyingine zinazodumu masaa 6 angani zikiwinda washenzi.Hadi raha, unaswagwa huku, unatanguliziwa kitu unakutana nacho. Mwisho wa ubaya ni ubaya tu. Dŕone zinawatesa sana.
Salamu kwa ChinaTaiwan imeisaidia Ukraine combat drones 860 za aina hii
View attachment 2331995
Kaanzishe uzi wakoMambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.
Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.
Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
shikamoo AZOVAzov wenyewe hawa hapa. Angalia wanavyokimbia kwa mwendo wa Zigzag
View attachment 2332148