Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni Mytishchi maeneo ya Moscow Urusi. Shopping mall moto kama wote
Your browser is not able to display this video.
 
Mambo unayopost humu na kinachoendelea ni tofauti.

Wewe unachopost ni propaganda kama tu wanavyofanya mataifa ya Magharibi.

Ingekuwa vitu unavyopost ni kweli kitambo sana Mrusi angekuwa amekubali kushindwa
 
Wananchi wa Ukraine wakiimba nyimbo za Uzalendo na hamasa kuelekea siku ya Uhuru wa Ukraine tarehe 24. Vifaru vya Urusi zilivyotekwa vimesambazwa kwenye mitaa ya Kyiv wananchi wapige navyo picha. Wananchi wana muamko, kwani wanakesha wakiimba Mrusi apigwe
Your browser is not able to display this video.
 
Frontline ya Ukraine. Hapa Mrusi hakatizi. Vita ya Msituni Mrusi anaiogopa sana. Yeye anataka akajifiche kwenye makazi ya watu sababu wanajua Ukraine hawashambulii adui alojificha huko, sababu wanakufa watoto. Kwa moto huu Mrusi haji
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…