kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Hii ss ni kufuru. Ni mwendo w kupeleka moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ss ni kufuru. Ni mwendo w kupeleka moto
HahahaaaWarusi wakiwa wapole sana. Hapa wanamuamkia hata mtoto mchanga
View attachment 2341765View attachment 2341766
Wacha wapelekewe kisawasawa akili ziwakae vizuri na siku nyingine wajifunze kuacha kuvamia-vamia nchi za wenzao.Hii ss ni kufuru. Ni mwendo w kupeleka moto
MMmm. Wamechelewa kuwa wapole. Sasa ni bakora tu zinatembea. Upole hausaidii tena. Si walionywa waache kuvamia tangu 14 Febr.2022 wakakaidi. Watulie dawa iwaingie.Warusi wakiwa wapole sana. Hapa wanamuamkia hata mtoto mchanga
View attachment 2341765View attachment 2341766
Mkuu; Kama hicho kifaru ni kizima, kitumieni hichohicho kupeleka moto kwa waliokitelekeza(i.e.Mrusi)Tumejiokotea kifaru
View attachment 2341781
Duh! Hivi kumbe Drone ina akili? Imewakusanya Warusi pamoja mahali halafu ikawapa KITU ....
Kofia(Helmet) gani hiyo haifai hata kuendeshea bodaboda.Angalia Kofia Frontline ya Urusi wanazopewa. Ndo maana wanakufa sana. Au Warusi wanahumiana?
View attachment 2341782
Wapi hapo?Warusi wanakimbia wanaacha mzigo
View attachment 2342202
Wamekata tamaaWakuu, hivi kwanini Warusi walishambuliwa hawasaidiani? Japo kubeba majeruhi? Siwaelewi
View attachment 2342176
Wamechagua fungu lililo jema.Askari wa Urusi katika eneo fulani huko Kherson baada ya kuona wamezingirwa wanyoosha bendera nyeupe kutoa ishara ya kusurrender
View attachment 2342809