figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,461
Angalia HIMARS ilivyo wakurupusha Warusi. Wanatafutana. Moja haikai mbili haikai🤣🤣🤣. Wakaretreat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa. Huyo mzee Hata kama havezi kushika bunduki kwenda frontline lakini bado mchango wake wa sala na maombi ni muhimu sana. Huo ndo Umoja ni nguvu.Baraka za Wazee
View attachment 2341625
HIMARS bhana! Khaa! Inawaswaga Warusi kama mbuzi. Imenikumbusha mbali sana... huku Umasaini tunaswaga mbuzi kwa haraka-haraka ili wasichepuke na kuharibu mazao ya watu.Angalia HIMARS ilivyo wakurupusha Warusi. Wanatafutana. Moja haikai mbili haikai🤣🤣🤣. Wakaretreat
View attachment 2341627
Warusi na ukaidi wao watajiuliza imekuwaje???Mji wa Krasnogvardeyskoye huko Crimea, kitu kinawaka sana, moshi mnene. Pua zinanusa nyama za Warusi
View attachment 2341629
Dah! Mrusi hapati nafasi ya kwenda uani. Kazi-kazi.Songa mbele
View attachment 2341632
Duh! Mizoga ya Warusi - Hivi huwa hawazikani??
Hapo lazima Mrusi atamke kwa kilugha chake "Mama wee, mama wee, nini kimenileta huku???"Urusi wanapelekelewa zawadi
View attachment 2341754