figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,541
Hapa ni Kherson, Kikosi cha Urusi kimepelekewa moto kikakimbia na kuacha mzigo wa kutosha nyumba pamoja na kifaru aina ya BMP-2 IFV. Hii Sehemu Urusi waliweka kambi, Wameamua kuretreat na kurudi nyuma