figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,561
Imeangushwa huko Kherson. Urusi wanalia na hatuwaonei huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Warusi kwa nini wasiende kushiriki mbio za World Marathon? Nna uhakika kwa mbio hizo walizoonesha hapo watashinda katika mashindano.Drone imewafanya Urusi wapoteane, angalia wanavyo haha
View attachment 2345512
Wilaya Vysokopolye, mkoa wa Kherson imerudi. Kwa Mara nyingine bendera za Ukraine zimepandishwa. Urusi wamekimbia bila Viatu
View attachment 2345505
Huyo mzee hapo#4 nadhani alilazimishwa kuingia vitani -mbona kachoka ki-umri hivyo? au ni kati ya waliokuwa wafungwa wa Urusi na kufutiwa kifungo kwa masharti ya kuingia jeshini ili akapambane na Ukraine? Imekula kwake mazima.Wanajeshi wa Urusi ambao wametekwa huko Vysokopyllia, Mkoani Kherson. Natamani wangekuwepo Azov, hawa wote walitakiwa wawe mbolea tu. Unawateka ili iweje?
View attachment 2345593View attachment 2345594View attachment 2345595
View attachment 2345596
Yeah. Unawateka ili waendelee kuwa na Haki ya kuishi lakini pia ili watoe siri za adui.Wanajeshi wa Urusi ambao wametekwa huko Vysokopyllia, Mkoani Kherson. Natamani wangekuwepo Azov, hawa wote walitakiwa wawe mbolea tu. Unawateka ili iweje?
View attachment 2345593View attachment 2345594View attachment 2345595
View attachment 2345596
Shikamoo HIMARS. Udumu na Kazi iendelee. Safi sana.Himars imefanikisha sana counter attack au offensive kherson
Khaa! Mbona reputation ya Mrusi duniani kote ilishaharibika na kupotea siku nyingi zilizopita? Unakumbuka yale majigambo yake ya kuichukua Kyiv ndani ya masaa 72 halafu akachemka, akawa anapeleka milolongo ya mavifaru yake na magari ya kivita n.k. na vyote vikateketezwa? Damn it. Lijitu likubwa hivyo lakini linazaragazwa na kanchi kadogo vile? Akheri Mrusi(Putin) angelikaa nyumbani kwake na mke wake halafu akaendelea kubweka kwa vitisho tu bila kujiingiza physically katika vita hii inayomuumbua kila inapoitwa leo.HIMARS imebadili saana muelekeo wa Hii Vita, Hadi muda huu Hii vita imemelemea saana Mrusia na asipokuwa wise itamharibia reputation take Duniani.
Cheki Warusi wanavyokufa huko Kherson, Utafikiri sisimizi wamemwagiwa mafuta ya taa🤣🤣🤣
View attachment 2345696
"Bitalo"Cheki Warusi wanavyokufa huko Kherson, Utafikiri sisimizi wamemwagiwa mafuta ya taa🤣🤣🤣
View attachment 2345696
😂😂 wanakimbia kama nyumbu wametowanywa na simba. Wana bahati Drone imekosa target. Navyozipendea hizi Drones zinapiga kwenye makende.Drone imewafanya Urusi wapoteane, angalia wanavyo haha
View attachment 2345512
Wakulima wa Ukraine wanatamani sana hii mbolea wakiona imezagaa ovyo.Cheki Warusi wanavyokufa huko Kherson, Utafikiri sisimizi wamemwagiwa mafuta ya taa🤣🤣🤣
View attachment 2345696
😂😂😂katulia tuli kama anapelembwa vile. Kashajua kuwa mwisho wake umefika.Yaani Azov wanakuzika kabla hujafa then wanakusuuza then wanakufukia wakitaka
View attachment 2345721
Haijakosa. Bomu linatakiwa lilipuke.. Kama upo umbali hata wa hatua 6 kutoka lilipotua linakupata. Saa nyingine hata ukiwa hatua 10 kutoka lilipolipukia unaweza kufa😂😂 wanakimbia kama nyumbu wametowanywa na simba. Wana bahati Drone imekosa target. Navyozipendea hizi Drones zinapiga kwenye makende.