Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Urusi ambao wametekwa huko Vysokopyllia, Mkoani Kherson. Natamani wangekuwepo Azov, hawa wote walitakiwa wawe mbolea tu. Unawateka ili iweje?
View attachment 2345593View attachment 2345594View attachment 2345595
View attachment 2345596
Huyo mzee hapo#4 nadhani alilazimishwa kuingia vitani -mbona kachoka ki-umri hivyo? au ni kati ya waliokuwa wafungwa wa Urusi na kufutiwa kifungo kwa masharti ya kuingia jeshini ili akapambane na Ukraine? Imekula kwake mazima.
 
Wanajeshi wa Urusi ambao wametekwa huko Vysokopyllia, Mkoani Kherson. Natamani wangekuwepo Azov, hawa wote walitakiwa wawe mbolea tu. Unawateka ili iweje?
View attachment 2345593View attachment 2345594View attachment 2345595
View attachment 2345596
Yeah. Unawateka ili waendelee kuwa na Haki ya kuishi lakini pia ili watoe siri za adui.
Himars imefanikisha sana counter attack au offensive kherson
Shikamoo HIMARS. Udumu na Kazi iendelee. Safi sana.
 
HIMARS imebadili saana muelekeo wa Hii Vita, Hadi muda huu Hii vita imemelemea saana Mrusia na asipokuwa wise itamharibia reputation take Duniani.
Khaa! Mbona reputation ya Mrusi duniani kote ilishaharibika na kupotea siku nyingi zilizopita? Unakumbuka yale majigambo yake ya kuichukua Kyiv ndani ya masaa 72 halafu akachemka, akawa anapeleka milolongo ya mavifaru yake na magari ya kivita n.k. na vyote vikateketezwa? Damn it. Lijitu likubwa hivyo lakini linazaragazwa na kanchi kadogo vile? Akheri Mrusi(Putin) angelikaa nyumbani kwake na mke wake halafu akaendelea kubweka kwa vitisho tu bila kujiingiza physically katika vita hii inayomuumbua kila inapoitwa leo.
 
😂😂 wanakimbia kama nyumbu wametowanywa na simba. Wana bahati Drone imekosa target. Navyozipendea hizi Drones zinapiga kwenye makende.
Haijakosa. Bomu linatakiwa lilipuke.. Kama upo umbali hata wa hatua 6 kutoka lilipotua linakupata. Saa nyingine hata ukiwa hatua 10 kutoka lilipolipukia unaweza kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…