figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #521
Utauawa. Utaonekana muasi. Watu wanatoka Dar wanaenda Morogoro, nawe unatoka Morogoro unaenda Dar, kisha wewe wa Morogoro ugeuze gari uanze shambulia Morogoro? Inawezekanaje? Sababu kila jeshi linapofila linaweka bendera yake. Na kila hatua Mkuu wenu anajua. Sababu Wanajeshi wapo kwa hesabu na wanajua nani yupo wapi? Wewe utakayevaa rebo utajiita kikosi gani? Mfano hawa hawa wachechen wanaomsaidia Urusi wanajiita Tik tok wakiwa Vitani. Huko mbele uepelekwa na gari gani? Nani anakupa muongozo wa kulipua mzinga? Sikuelewi. Hadi Silaha zina alama. Utatoa wapi? Asubuhi mumepewa majukumu halafu mtu aingie msijue? Mapigo yenu kanuaje? Hadi kuwe na muasi.Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ya Kiislam imeenea sana. Hawa Chechnya ni Waislam jamii ya Suni. Tangu Karne ya 14. Wakati wa kuenea kqa dini, watu walifika Urusi. Ukizingatia Ukraine kulikuwa na Wayahudi. Watu wanadai huyu rais wa Ukraine ni Myahudi. Hii Vita Utafikiri Israel haimo, ila ndo nchi inapeleka misaada mingi kipindi hiki cha Vita. Hata Wataalam. Wamarekani na Waisrael wamejaa Ukraine tena Frontline. Wanajiita watu wa kujitolea. Urusi anapambana na Nchi nyingi. Sema hawajitangaziSwali lingine Tena mkuu ni kwa nini Hawa Chechens wanapenda Sana vita Yani ni kama vita kwao ni jambo ambalo wanalifutahia Sana.Na ni kwa nini hawa jamaa ni waisalamu wakati najua hiyo nchi ilikuwaga kwenye shilikisho la kisovieti hivo basi nilitegemea wangekua waothodox kama walivo Warusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
01 April 2022: Hawa ndo Chechen wanaomsaidia Putin. Wapo Mkoani Mariupol wakibomoa nyumba huku wakitumia kifaru aina BTR-80/82 kama ngao kujikinga na risasi. Ingekuwep Silaha aina ya NLAW, wote wangeenda na maji. Tutawadaka tu. Mfano Bucha tumeshairudisha💪Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa Sana mkuu nmekusomaUtauawa. Utaonekana muasi. Watu wanatoka Dar wanaenda Morogoro, nawe unatoka Morogoro unaenda Dar, kisha wewe wa Morogoro ugeuze gari uanze shambulia Morogoro? Inawezekanaje? Sababu kila jeshi linapofila linaweka bendera yake. Na kila hatua Mkuu wenu anajua. Sababu Wanajeshi wapo kwa hesabu na wanajua nani yupo wapi? Wewe utakayevaa rebo utajiita kikosi gani? Mfano hawa hawa wachechen wanaomsaidia Urusi wanajiita Tik tok wakiwa Vitani. Huko mbele uepelekwa na gari gani? Nani anakupa muongozo wa kulipua mzinga? Sikuelewi. Hadi Silaha zina alama. Utatoa wapi? Asubuhi mumepewa majukumu halafu mtu aingie msijue? Mapigo yenu kanuaje? Hadi kuwe na muasi.
Vita ya Libya kuna jamaa kiongozi wa juu wa Jeshi alijiunga kwa Waasi ila nia ilikuwa kumpa taarifa Gadafi. Wakashangaa Kikosi chake wakikipa majukumu watu wanakufa, kila mbinu gadafi anapata taarifa. Ikabidi kiongozi wamuue ndipo waasi wakaukamata Mji wa Sirte Gadafi anapozaliwa. So Uasi upo. Ila ukigundulika hakuna nisamie, unajinyonga kwa mikono yako hadi ufe
Hata sijui nikufanulieje. Wanajeshi wanaenda kwa pamoja. Ukiwaacha wenzio unapigwa tu.
Mfano
View attachment 2172064
Asante Sana kwa ufafanuzi wako nakuomba usife moyo kwa kazi unayofanya kutuletea updates za vita tunashukuru Sana na Mungu wa Mbinguni akubariki Sana.Dini ya Kiislam imeenea sana. Hawa Chechnya ni Waislam jamii ya Suni. Tangu Karne ya 14. Wakati wa kuenea kqa dini, watu walifika Urusi. Ukizingatia Ukraine kulikuwa na Wayahudi. Watu wanadai huyu rais wa Ukraine ni Myahudi. Hii Vita Utafikiri Israel haimo, ila ndo nchi inapeleka misaada mingi kipindi hiki cha Vita. Hata Wataalam. Wamarekani na Waisrael wamejaa Ukraine tena Frontline. Wanajiita watu wa kujitolea. Urusi anapambana na Nchi nyingi. Sema hawajitangazi
Mkuu Maswali yako Magumu siyawezi. Wataalam watakujibu. Ninachojua, hii Vita Urusi anaweza kumpiga Ukraine ila hawezi kushinda. Mfano leo Warusi wamenyang'anywa Miji Mitatu walokuwa wanashikilia ikiwemo ngome ya ya Bucha.Asante Sana kwa ufafanuzi wako nakuomba usife moyo kwa kazi unayofanya kutuletea updates za vita tunashukuru Sana na Mungu wa Mbinguni akubariki Sana.
Ukipata muda naomba utufafanulie je ni nini hatima ya hii vita?
Kwanini imeanza kipindi Cha mwaka 2022 na sio mwaka 2014 kipindi ambacho Crimia ilimegwa na Urusi?
Je baada ya hii vita nini kitatokea Duniani kiuchumi na kijeshi?
Je ni nini hatima ya China na Berarus kama Putin atashindwa vita na hatimae kianguka hatma ya ya haya mataifa itakuaje ?
Je Marekani anampango gani juu ya Taifa la Urusi kijeshi na kiuchumi?
Asante Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nawe umeipata hii asante sana. Kwa wale wasiojua, Helcopter iliyotumika kwenye shambulizi hili ni aina ya Mil Mi-24. Ilikuwa inatembea chini chini, rada zikiwa zinaangalia Juu🤣🤣. Ilishawahi kwenda pia kulipua ghara ka Silaha hivi karibu na rubani yuleyule.Anapelekewa sasa ndani ya Russia, baada ya kuoneka kumbe superpower mchovu......
Ukraine imetuma helicopter mbili kulipua ghala la mafuta......
View attachment 2172329
View attachment 2172331
View attachment 2172332