Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Haijakosa. Bomu linatakiwa lilipuke.. Kama upo umbali hata wa hatua 6 kutoka lilipotua linakupata. Saa nyingine hata ukiwa hatua 10 kutoka lilipolipukia unaweza kufa
Afadhali maana nilisononeka kweli. Nilidhani Drone imekosea target. Nafarijika sana napoona Katsaps wameuma magego.

Putin has to get a lesson and end his hooligan behaviour of invading others territories or countries.
 
Jamaa kajitengenezea nti-tank weapon. Hii inatumia Remote. Badala ya kutuma mtu, sasa Ukraine watakuwa wanatuma hiki kifaa kiwalipue then kinarudi speed. Mnaweza hata tegesha barabarani nyie mkajikalia mbali, Warusi wakipita tu wamekwisha
Your browser is not able to display this video.
 
Duh! Ni hapo sasa: Juu ni drones, chini ni hivi vijamaa, pembeni kidogo pale ni Stugna-P na kwa mbali kule ni Wazee wa HIMARS. Katika maeneo mtambuka na Uwanja wa medani wapo Wanajeshi wabobezI, machachari, ngangari wenye Ari na Usongo wa kumfumua Mrusi kila atakapoonekana au akijaribu kuinua pua yake.
Ni bahati mbaya kwamba Mrusi hawezi kubeba Madaraja, Maghala ya kuhifadhia silaha, Vituo/Makambi ya jeshi, viwanja vya ndege n.k. Imempasa na Hana budi awe mtulivu tu ashuhudie jinsi ambavyo vinashughulikiwa ili kumtia Adabu.
 
Ndiyo. Ni Lazima kuyapekenyua na kuyakagua vizuri mashenzi haya kwani yanao Ujinga wa kujifanya eti wameshakufa. Warusi ni wajinga sana hawaelewi somo - wanadhani Ukraine wanataka Warussi wafe kumbe hawajajielewa kwamba Ukraine anataka Warusi WAACHE UVAMIZI, WAONDOKE na WARUDI nchini kwao Russia( Dead or Alive). Sasa wao bado wameendelea kung'ang'ania nchi ya watu - Acha wabutuliwe.
 
Nimeiona hiyo Z nikatamani kuona hapo inapoenda kuishia kuwa majivu. au ni imeokotwa, imetekwa na hapo inapelekwa kufanyiwa ukarabati ili itumike kuwapelekea moto Warussi?
Hawa Wanajeshi wamewanyang'anya kifaru Warusi. Hiki ni kifaru cha Urusi ambacho kimetekwa na Ukraine Frontline Kitatumika kuwashambulia Warusi
 
Hii ndo inaitwa CAESAR howitzer za Ufaransa. Zinasifika kuwa na shabaha. Zinapiga umbali wa Km 42 hadi 50. Sema Ufaransa walitoa chache sana kwa Ukraine.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…