figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,601
Naam. Wasije wakasingizia eti hatukuambiwa ni kwa nini sisi Warusi tunatwangwa hivyo bila huruma. Mwenye masikio na asikie , Mwenye macho haambiwi tazama-ujumbe wataupata sawia.Sasa hawa Azov kila Kombora sasa wanaliwekea ujumbe, ili Warusi wakifa, wajue kwanini wameuliwa. So kanda linabaki na ujumbe ambao wanaokota maiti za Kirusi watausoma
View attachment 2346478View attachment 2346479View attachment 2346480View attachment 2346481View attachment 2346482
Yap! Mzigo chukueni halafu baadaye kidogo muwapostie huko walikokimbiliaKherson: Urusi wametelekeza Mzigo
View attachment 2346547
Hao jamaa(Warusi) ni vilaza kweli-kweli. Mkubwa wao Kirill alishawaonesha mfano tena kwa vitendo kile wanachotakiwa kufanya i.e. Wakimbieee warudi Urussi chap. Sasa badala yake wamekaidi/wamepuuzia na wameendelea kuwa maduanzi. Nadhani vichwani mwao network imekata au dish limeyumba. Ukraine Wapelekeeni moto tu hao jamaa hakuna jinsi.Kherson Warusi wanakufa sana. Wanajeshi waliaminishwa kuna mifumo ya anga ya kuwalinda. Yaani Warusi wanaamini Ukraine wachovu so wakajiachia. Tangu Ukraine ianze kuisambaratisha Kherson, hawaamin macho yao.
View attachment 2346441
Kumbe mzigo wanaweka kwenye nyumba za watu. Naona sasa maghala hayana kazi.Kherson: Urusi wametelekeza Mzigo
View attachment 2346547
Drone imemlipua menzake wala hajasikia mlipuko, kashangaa kwa nini mwenzangu simuoni. Hakujua kama ni Drone imefanya yake. Angeendelea kuzubaa pale ingemlamba na yeye. Kaona isiwe tabu akasepa.Drone imeondoka na Mrusi mmoja
View attachment 2346434
Hey! We jamaa ; Haujafahamu kwamba Mrusi hana tena Maghala hapo?- yamemalizwa na Wazee wa HIMARS.Kumbe mzigo wanaweka kwenye nyumba za watu. Naona sasa maghala hayana kazi.
Sasa hivi ule msemo wa kidengereko "ukichimama nchale, ukikimbia nchale" ndo kinachowapata warusi.Hey! We jamaa ; Haujafahamu kwamba Mrusi hana tena Maghala hapo?- yamemalizwa na Wazee wa HIMARS.
Hahahaaa. Hizo mbio alivyotimka sasa......Drone imemlipua menzake wala hajasikia mlipuko, kashangaa kwa nini mwenzangu simuoni. Hakujua kama ni Drone imefanya yake. Angeendelea kuzubaa pale ingemlamba na yeye. Kaona isiwe tabu akasepa.
Dish lilikuwa linasoma chenga. Signal ziliporudi kaondoka mbio kama ndege ina take off πππHahahaaa. Hizo mbio alivyotimka sasa......
Yan, Hakuna rangi Mrusi ataacha kuona.ππDish lilikuwa linasoma chenga. Signal ziliporudi kaondoka mbio kama ndege ina take off πππ
Hii ngoma sio ya kuisha leo. Na pengine wakati huo-huo "wateja" (maiti) wengine wakawasili soon.Angalia Warusi wanavyozika Maafisa wao ya Jeshi waliofia huko Ukraine. Sijui watamaliza saa ngapi kuzikaπ€£π€£π€£
View attachment 2346507