Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kherson Warusi wanakufa sana. Wanajeshi waliaminishwa kuna mifumo ya anga ya kuwalinda. Yaani Warusi wanaamini Ukraine wachovu so wakajiachia. Tangu Ukraine ianze kuisambaratisha Kherson, hawaamin macho yao.
 
Sasa hawa Azov kila Kombora sasa wanaliwekea ujumbe, ili Warusi wakifa, wajue kwanini wameuliwa. So kanda linabaki na ujumbe ambao wanaokota maiti za Kirusi watausoma
IMG_20220905_150545_582.jpg
IMG_20220905_150539_096.jpg
IMG_20220905_150536_598.jpg
IMG_20220905_150533_189.jpg
IMG_20220905_150530_342.jpg
 
Sasa hawa Azov kila Kombora sasa wanaliwekea ujumbe, ili Warusi wakifa, wajue kwanini wameuliwa. So kanda linabaki na ujumbe ambao wanaokota maiti za Kirusi watausoma
View attachment 2346478View attachment 2346479View attachment 2346480View attachment 2346481View attachment 2346482
Naam. Wasije wakasingizia eti hatukuambiwa ni kwa nini sisi Warusi tunatwangwa hivyo bila huruma. Mwenye masikio na asikie , Mwenye macho haambiwi tazama-ujumbe wataupata sawia.
 
Kherson Warusi wanakufa sana. Wanajeshi waliaminishwa kuna mifumo ya anga ya kuwalinda. Yaani Warusi wanaamini Ukraine wachovu so wakajiachia. Tangu Ukraine ianze kuisambaratisha Kherson, hawaamin macho yao.
View attachment 2346441
Hao jamaa(Warusi) ni vilaza kweli-kweli. Mkubwa wao Kirill alishawaonesha mfano tena kwa vitendo kile wanachotakiwa kufanya i.e. Wakimbieee warudi Urussi chap. Sasa badala yake wamekaidi/wamepuuzia na wameendelea kuwa maduanzi. Nadhani vichwani mwao network imekata au dish limeyumba. Ukraine Wapelekeeni moto tu hao jamaa hakuna jinsi.
 
Drone imemlipua menzake wala hajasikia mlipuko, kashangaa kwa nini mwenzangu simuoni. Hakujua kama ni Drone imefanya yake. Angeendelea kuzubaa pale ingemlamba na yeye. Kaona isiwe tabu akasepa.
Hahahaaa. Hizo mbio alivyotimka sasa......
 
Back
Top Bottom