Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Ukraine wa Frontline, hapa walikuwa wanasumbuliwa na quadcopter ya Urusi. Hajafa mtu
Your browser is not able to display this video.
 
Base kubwa ya Urusi iliyopo Valuyek Mkoani Belgorod Nchini Urusi imegundulika. Ipo kwenye longitude na latitudes 50.251980, 37.716356. Naona wameanza kuogopa kuingiza mzigo Ukraine. Ukraine wangekuwa hawajakatazwa kutumia HIMARS kushambulia nje ya Mipaka ya Nchi, hii Base ingeenda na maji. Hivi Vifaru vya Kirusi vinavyoonekana ni aina ya T-90M

Your browser is not able to display this video.
 
Warusi walipelekewa moto, hapa anawaambia wenzage kwamba hakuna mtu bali Mikono na Miguu ndo imesalia. Wakamwambia njoo tukimbie, tukishambuliwa tena tunakufa. Hiyo inayoonekana kuwaka hapo ni BUK ya Urusi. BUK missile system ni medium-range surface-to-air missile systems
Your browser is not able to display this video.
 
Dahh! Wazee wa HIMARS wanaimezeaje mate hiyo base kubwa walioigundua iliyoko Valuyek.?? Yaani mpaka grid reference wanazo. Basi tu wamepigwa "ban" kutoka nje ya mipaka ya Ukraine imekuwa tena sio rizki kwao.
 
Mhh! Warusi wanalambishwa Shubiri-mwitu (bitter alovera) taratibu ili akili iwakae vizuri.
 
Huyu Azov yupo Frontline. Walipaanza kumshambulia, akatumia muda huo kula lunch yake, badaye akajibu shambulizi.
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wanadai ni jeshi kubwa la pili Duniani, lakini wanatumia Makombora ya mwaka 1964🤣🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…