figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,621
Warusi wametelekeza mzigo wa kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hiyo inavyoonekana, sasa hivi hata mtu akikohoa tu, Mrussi lazima ashtuke akidhani ni wazee wa HIMARS wapo kazini na Anaweza kukurupuka na kutimua mbio.Usiku wa HIMARS
View attachment 2347056
Dahh! Wazee wa HIMARS wanaimezeaje mate hiyo base kubwa walioigundua iliyoko Valuyek.?? Yaani mpaka grid reference wanazo. Basi tu wamepigwa "ban" kutoka nje ya mipaka ya Ukraine imekuwa tena sio rizki kwao.Base kubwa ya Urusi iliyopo Valuyek Mkoani Belgorod Nchini Urusi imegundulika. Ipo kwenye longitude na latitudes 50.251980, 37.716356. Naona wameanza kuogopa kuingiza mzigo Ukraine. Ukraine wangekuwa hawajakatazwa kutumia HIMARS kushambulia nje ya Mipaka ya Nchi, hii Base ingeenda na maji. Hivi Vifaru vya Kirusi vinavyoonekana ni aina ya T-90M
View attachment 2347064
View attachment 2347065
Mhh! Warusi wanalambishwa Shubiri-mwitu (bitter alovera) taratibu ili akili iwakae vizuri.Warusi walipelekewa moto, hapa anawaambia wenzage kwamba hakuna mtu bali Mikono na Miguu ndo imesalia. Wakamwambia njoo tukimbie, tukishambuliwa tena tunakufa. Hiyo inayoonekana kuwaka hapo ni BUK ya Urusi. BUK missile system ni medium-range surface-to-air missile systems
View attachment 2347389
Hapo wapi mkuu?
Hii ni collection ya Frontline. Nyingi nimeshazipost hapa nyingine ni MariupolHapo wapi mkuu?
Watasamehewaje mbona wao ni wakaidi? Si waliambiwa waondoke tangu 14 Febr. 2022?Warusi wengine wamekamatwa huko Zaporozhye. Eti wanaomba wasamehewa, nani kawaleta? Zaporozhye na Kherson ni km 232.
View attachment 2347525
Kumbe Hawa Majamaa bado wapo enzi za Analogia.Urusi wanadai ni jeshi kubwa la pili Duniani, lakini wanatumia Makombora ya mwaka 1964🤣🤣🤣🤣
View attachment 2347581