figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,761
Yap! Safi sana . Duh! Utadhani hiyo machine gun kaitengeneza mwenyewe jinsi anavyoimudu matumizi yake.Frontline ya Ukraine. Angalia jinsi Urusi wanavyo pelekewa moto
View attachment 2350631
Sasa gemu limegeuka na limekuwa ni Kamata-kamata tu. Mrusi kafulia mno kwenye uwanja wa medani. Yan Ukraine we acha tu, Mrusi anaona aibu kusema tu "jamani basi imetosha niachilieni tu naapa sitorudia tena ujinga huu - nimekoma wajameni" 🏃♂️ 🏃♂️Askari wa Ukraine wakiwa wamewashuka nateka askari wa Urusi huko Balakliya
View attachment 2350739
Hongera sana. Kazi ni njema mno. Kifuatacho........
Naam. Hizo risasi warudishieni kwa mtindo kwamba nyie Ukraine mbaki na maganda wao wachukue hicho cha mbele halafu watajua wenyewe.😂😂😂
Na hilo kwa spidi iliopo, Ukraine watalikamilisha mapema mno. Sijui kama Warusi wanalifahamu hilo na badala ya kukimbia kujiokoa wao bado wanaendelea kubung'aa-bung'aa hapo.Hawajagundua kwamba kwa sasa hawana ubavu tena mbele ya Ukraine.Wanasema kuwa Izyum ikidakwa Warusi wote wanakufa
Isingekuwa ni kutokana na uamuzi wa kipuuzi wa Mtu mmoja, hawa wote (mizoga) wangekuwa ni nguvukazi ya kuzalisha ngano,alizeti, shayiri n.k. Sasa wamekuwa wao ndo mbolea ya kustawisha mazao hayo.
Kwa kweli wiki hii Katsaps wameuma meno kwa sana. Kende zingekuwa na soko ningeenda kuokota maana ziko nyingi kweli.Isingekuwa ni kutokana na uamuzi wa kipuuzi wa Mtu mmoja, hawa wote (mizoga) wangekuwa ni nguvukazi ya kuzalisha ngano,alizeti, shayiri n.k. Sasa wamekuwa wao ndo mbolea ya kustawisha mazao hayo.
Aisee! Kweli vita ni Taaluma ni Sayansi. Warusi wanajua sana kucheza kwata (gwaride) na maonesho ya silaha (exhibition). Lakini kwenye uwanja wa medani ni sifuri (0) kabisa.
Wamepukutishwa kama miti ya kiangazi.Kwa kweli wiki hii Katsaps wameuma meno kwa sana. Kende zingekuwa na soko ningeenda kuokota maana ziko nyingi kweli.
Mkuu umenipa raha, for sure it was well planned to retake the ukrainian territories. Well done.
Mi nawapongeza sana wapiganaji Wa-Ukraine kwa kuwadaka maAfande ref pg 287 (maLuteni kanali)huko Balakliya. Kwa kweli hao wanatakiwa walindwe kama mboni ya jicho. Wanazo siri nyingi sana. Sasa mwisho wa siku inatakiwa "wawezeshwe" kuzitoa siri hizo kikamilifu.Mkuu umenipa raha, for sure it was well planned to retake the ukrainian territories. Well done.
Bravo [emoji122]09 Sept 2022: Ndani ya Masaa 24,Majeshi ya Ukraine yanaweza kuiteka Izium. Kwani sasa wapo Grushivka umbali wa 5km kutoka Kupyansk.
View attachment 2350805
Naam, Wako sahihi sana. Na wao kama binadamu, wamelichoka hilo livita la mwenyenalo(Putin) ambalo halina mbele wala nyuma, halina mwelekeo wa kuisha leo wala kesho ilhali huyo mshenzi aliahidi ni OP ya 72 hrs na kazi itakuwa imeisha. Lakini hadi sasa ni miezi 8 inakatika wala hakuna mategemeo yoyote bali wanajeshi wa Urussi wanaendelea kutembezewa kichapo kitakatifu kutoka kwa Wapambanaji wa Ukraine. Zaidi sana wanakufa, wanapata ulemavu kwa kitu wasichokijua kina manufaa gani kwa Taifa lao.Ni kama Warusi wanajisalimisha na kuacha silaha zao
Your very right.Naam, Wako sahihi sana. Na wao kama binadamu, wamelichoka hilo livita la mwenyenalo(Putin) ambalo halina mbele wala nyuma, halina mwelekeo wa kuisha leo wala kesho ilhali huyo mshenzi aliahidi ni OP ya 72 hrs na kazi itakuwa imeisha. Lakini hadi sasa ni miezi 8 inakatika wala hakuna mategemeo yoyote bali wanajeshi wa Urussi wanaendelea kutembezewa kichapo kitakatifu kutoka kwa Wapambanaji wa Ukraine. Zaidi sana wanakufa, wanapata ulemavu kwa kitu wasichokijua kina manufaa gani kwa Taifa lao.
Hawa nyang'au wamekuwa wapole baada ya kudakwa utadhani ni watu wema.