Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Askari wa Ukraine wakiwa wamewashuka nateka askari wa Urusi huko Balakliya
View attachment 2350739
Sasa gemu limegeuka na limekuwa ni Kamata-kamata tu. Mrusi kafulia mno kwenye uwanja wa medani. Yan Ukraine we acha tu, Mrusi anaona aibu kusema tu "jamani basi imetosha niachilieni tu naapa sitorudia tena ujinga huu - nimekoma wajameni" 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Wanasema kuwa Izyum ikidakwa Warusi wote wanakufa
Na hilo kwa spidi iliopo, Ukraine watalikamilisha mapema mno. Sijui kama Warusi wanalifahamu hilo na badala ya kukimbia kujiokoa wao bado wanaendelea kubung'aa-bung'aa hapo.Hawajagundua kwamba kwa sasa hawana ubavu tena mbele ya Ukraine.
 
Isingekuwa ni kutokana na uamuzi wa kipuuzi wa Mtu mmoja, hawa wote (mizoga) wangekuwa ni nguvukazi ya kuzalisha ngano,alizeti, shayiri n.k. Sasa wamekuwa wao ndo mbolea ya kustawisha mazao hayo.
Kwa kweli wiki hii Katsaps wameuma meno kwa sana. Kende zingekuwa na soko ningeenda kuokota maana ziko nyingi kweli.
 
Mkuu umenipa raha, for sure it was well planned to retake the ukrainian territories. Well done.
Mi nawapongeza sana wapiganaji Wa-Ukraine kwa kuwadaka maAfande ref pg 287 (maLuteni kanali)huko Balakliya. Kwa kweli hao wanatakiwa walindwe kama mboni ya jicho. Wanazo siri nyingi sana. Sasa mwisho wa siku inatakiwa "wawezeshwe" kuzitoa siri hizo kikamilifu.
 
Ni kama Warusi wanajisalimisha na kuacha silaha zao
Naam, Wako sahihi sana. Na wao kama binadamu, wamelichoka hilo livita la mwenyenalo(Putin) ambalo halina mbele wala nyuma, halina mwelekeo wa kuisha leo wala kesho ilhali huyo mshenzi aliahidi ni OP ya 72 hrs na kazi itakuwa imeisha. Lakini hadi sasa ni miezi 8 inakatika wala hakuna mategemeo yoyote bali wanajeshi wa Urussi wanaendelea kutembezewa kichapo kitakatifu kutoka kwa Wapambanaji wa Ukraine. Zaidi sana wanakufa, wanapata ulemavu kwa kitu wasichokijua kina manufaa gani kwa Taifa lao.
 
Your very right.
 
IMG_20220910_210923_081.jpg
IMG_20220910_210927_189.jpg
IMG_20220910_210814_411.jpg
IMG_20220910_210812_372.jpg
IMG_20220910_210810_071.jpg
IMG_20220910_210807_476.jpg
 
Back
Top Bottom