Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Azov baada ya kuachiwa wameanza fujo. Huyu Azov baada ya kuachiwa kapost Video aliyolekodi Mariupol kabla ya kujisalimisha. Azov na vita ni samaki na Maji
 
Mpaka wamalize mafunzo vita itakuwa imeisha. Ukraine imejipanga by December ikomboe mikoa yote.
Mafunzo gani aisee?? Pale Khurba wanaenda kufundishwa kukimbia, gwaride, kufungua na kunga silaha baas. Mengine watakuja kufundishwa na Wapambanaji wa Ukraine na hapo ndipo watajua walikuwa hawajui.
 
Waliokuwa Mobilized wamepelewa Khurba Mkoani Khabarovsk ( 6071 km ) Mashariki mwa Moscow. Hadi wafundishwe, kufika Ukraine sio leo

Hapa ni uwanja wa Ndege wa Khurba Urusi
View attachment 2365028
Mrussi ana mbinu nyingi sana za kupunguza maJobless wa nchini kwake. Hii nayo ni mbinu mojawapo. Tatizo hapa ni kwamba anampasia/anaifaulisha hiyo kazi kwa Ukraine badala ya kuifanya yeye mwenyewe.
 
IMG_20220923_095600_858.jpg
IMG_20220923_095603_424.jpg
IMG_20220923_095607_504.jpg
 
Akileta jeuri wanakata kende wanaume. Ukidakwa lazima uwe mpole hata ukiambiwa kula mavi huna budi kula kuepuka kifo.
Usikute wameambiwa tunaenda kuwachoma moto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akileta jeuri wanakata kende wanaume. Ukidakwa lazima uwe mpole hata ukiambiwa kula mavi huna budi kula kuepuka kifo.
Ni kweli aisee; hilo halina ubishi. Ni kitendo cha Haraka sana - fasta.
 
Back
Top Bottom