Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ndugu zetu Warusi waliokuwa mobilized, wameanza dundana wenyewe. Jeshi bila nidhamu hufiki popote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wanawavutisha bangi, watawageuka wenyewe
View attachment 2365703
Kura zimeanza kupigwa majimbo manne, Urusi kafanya smart escalation na yupo mbele ya Ukr, NATO kifikra na anafanikiwa
 
Kura zimeanza kupigwa majimbo manne, Urusi kafanya smart escalation na yupo mbele ya Ukr, NATO kifikra na anafanikiwa
Donbass, Luhansk, Donesk, Zaporizhia (Geographically zaidi ya Portugal) zinaenda kuwa chini ya URUSI rasmi hadi tarehe 27/09.
Endeleeni kuita Slams referndm wakati watu wanafanya kweli
 
Ndugu zetu Warusi waliokuwa mobilized, wameanza dundana wenyewe. Jeshi bila nidhamu hufiki popote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wanawavutisha bangi, watawageuka wenyewe
View attachment 2365703
Na wakishapiga kura na kuwa rasmi chini ya Urusi atayalinda maeneo kwa silaha zozote..

Hapo ndio tusubirie Western escalation watakayoifanya..

Ila kwa dunia ya sasa Putin ndio rightful leader hawa wengine ni terrorist groups tu
 
Drone Mbili za Urusi zimeshushwa kwa kutumia electronic warfare systems.
20220923_153004.jpg
20220923_153006.jpg
 
Wamekuwa wadogo kama piriton. Utadhani wako mbele ya Paroko walivyo wanyenyekevu.
Hehee; Mkuu; Wako sahihi kabisa. Mwanzoni si walikuwa wakihadithiwa eti oh! iko hivi na vile.... Sasa sio wanajionea wenyewe bali ni Wanahusika in person wao wenyewe- kwa nini wasijiny..e?? Wanajua kabisa kwamba hii kitu ni kama Tohara -hairudiwi mara mbili.
 
Utani mwingine siyo mzuri. Unamfundisha kutumia gobore then baadae umpeleke frontline akakutana na watu waliofundishwa kutumia machine za kutema njugu zenye teknolojia ya kisasa ata survive kweli.

Labda wanafundisha makuli wa kupakua na kupakia silaha kwenye Treni.
 
Back
Top Bottom