Naona wako kwenye drip ya kwanza. Malaria waliokuja nayo Ukraine lazima itoke. Matabibu wapo wanangojea mzingo wa vifaa ufike wote wafanye yaoWarusi wamepotezwa kama kumbikumbi
View attachment 2365038View attachment 2365039View attachment 2365040View attachment 2365041
Yeah! Itakuwa na shughuli muhimu sana watakapowasili hao Warussi laki tatu kutoka Khurba.Hii Bunduki iliyofungwa hapa inaitwa Browning M2. Inatema risasi balaa
View attachment 2365272
Hawa jamaa wanawasubiri kwa hamu kubwa sana Warussi 300,000 watakao hitimu mafunzo huko Khurba Mkoani Khabarovsk.
Mrussi bhana; amekuwa ni mtu wa kupoteza, kuandamwa na mikosi na mabalaa katika nyanja zote - askari,vifaa, miundombinu, marafiki na Bado kidogo atapoteza hata nchi yake na hatimaye Uhai wake.Treni ya Urusi ilipofika Donetsk ikalipuka. Ilibeba Vifaru
View attachment 2365119
Mrussi bhana; amekuwa ni mtu wa kupoteza, kuandamwa na mikosi na mabalaa katika nyanja zote - askari,vifaa, miundombinu, marafiki na Bado kidogo atapoteza hata nchi yake na hatimaye Uhai wake.
Mafunzo gani aisee?? Pale Khurba wanaenda kufundishwa kukimbia, gwaride, kufungua na kunga silaha baas. Mengine watakuja kufundishwa na Wapambanaji wa Ukraine na hapo ndipo watajua walikuwa hawajui.Mpaka wamalize mafunzo vita itakuwa imeisha. Ukraine imejipanga by December ikomboe mikoa yote.
Mrussi ana mbinu nyingi sana za kupunguza maJobless wa nchini kwake. Hii nayo ni mbinu mojawapo. Tatizo hapa ni kwamba anampasia/anaifaulisha hiyo kazi kwa Ukraine badala ya kuifanya yeye mwenyewe.Waliokuwa Mobilized wamepelewa Khurba Mkoani Khabarovsk ( 6071 km ) Mashariki mwa Moscow. Hadi wafundishwe, kufika Ukraine sio leo
Hapa ni uwanja wa Ndege wa Khurba Urusi
View attachment 2365028
Mtu kawa mpole kama piriton
Wamekuwa wadogo kama piriton. Utadhani wako mbele ya Paroko walivyo wanyenyekevu.
Akileta jeuri wanakata kende wanaume. Ukidakwa lazima uwe mpole hata ukiambiwa kula mavi huna budi kula kuepuka kifo.Mtu kawa mpole kama piriton
Usikute wameambiwa tunaenda kuwachoma moto[emoji23][emoji23][emoji23]Akileta jeuri wanakata kende wanaume. Ukidakwa lazima uwe mpole hata ukiambiwa kula mavi huna budi kula kuepuka kifo.
Ni kweli aisee; hilo halina ubishi. Ni kitendo cha Haraka sana - fasta.Akileta jeuri wanakata kende wanaume. Ukidakwa lazima uwe mpole hata ukiambiwa kula mavi huna budi kula kuepuka kifo.