figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,261
Frontline ni hellhole kubabeki..duuuuh
Kura zimeanza kupigwa majimbo manne, Urusi kafanya smart escalation na yupo mbele ya Ukr, NATO kifikra na anafanikiwaNdugu zetu Warusi waliokuwa mobilized, wameanza dundana wenyewe. Jeshi bila nidhamu hufiki popote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wanawavutisha bangi, watawageuka wenyewe
View attachment 2365703
Donbass, Luhansk, Donesk, Zaporizhia (Geographically zaidi ya Portugal) zinaenda kuwa chini ya URUSI rasmi hadi tarehe 27/09.Kura zimeanza kupigwa majimbo manne, Urusi kafanya smart escalation na yupo mbele ya Ukr, NATO kifikra na anafanikiwa
Na wakishapiga kura na kuwa rasmi chini ya Urusi atayalinda maeneo kwa silaha zozote..Ndugu zetu Warusi waliokuwa mobilized, wameanza dundana wenyewe. Jeshi bila nidhamu hufiki popote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wanawavutisha bangi, watawageuka wenyewe
View attachment 2365703
Wanastahili kuadabishwa kama ilivyo ada.
Tutajionea vichekesho vya kila aina kwenye hii mobilized mob.
Eti Urussi wanazo Geran drones. Hahahaaa. Mbona zinashushwa kama umande wa asubuhi? Mrussi Labda akatafute aina nyingine.Hiyo alokuja nayo siyo.Drone Mbili za Urusi zimeshushwa kwa kutumia electronic warfare systems.
View attachment 2365763View attachment 2365764
Dah! Hawa madogo jamani! maskini wa watu hawajui lolote wala chochote zaidi ya kuchati na mademu wao mtandaoni - Huku wamewaleta ni kwa kuwaonea tu. Wawarudishe fasta home Urussi wakiwa Hai au vinginevyo Ukraine atawageuza mbolea chap.
Hehee; Mkuu; Wako sahihi kabisa. Mwanzoni si walikuwa wakihadithiwa eti oh! iko hivi na vile.... Sasa sio wanajionea wenyewe bali ni Wanahusika in person wao wenyewe- kwa nini wasijiny..e?? Wanajua kabisa kwamba hii kitu ni kama Tohara -hairudiwi mara mbili.Wamekuwa wadogo kama piriton. Utadhani wako mbele ya Paroko walivyo wanyenyekevu.
Huyu kabeba matikiti au?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2365804
Hii silaha hata vita vya pili vya Dunia ilikuwa Kama manati Dunia ya Sasa yenye drones unaleta Semi automatic gun.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2365804
Utani mwingine siyo mzuri. Unamfundisha kutumia gobore then baadae umpeleke frontline akakutana na watu waliofundishwa kutumia machine za kutema njugu zenye teknolojia ya kisasa ata survive kweli.