Hawa ni wameswagwa tu. Hawataki na hawana utayari wa kwenda vitani. Manake ni kama wameshakufa hata kabla hawajafika frontline. Pale frontline ni kwamba wanaenda kuhitimisha tu. Ingekuwa ni huku kibongo-bongo unaweza kuweka hata msiba tu.Mobilized. Ni makelele muda wote, hawaelewani🤣🤣
View attachment 2366574
Sijaelewa huyu imekuwaje? Ni raia alikuwa anakimbia/toroka asijumuishwe kwenye wale mobilised au ni askari Mrusi kavua nguo ili ajichanganye uraiani?
Kuna haja ya UN / Mahakama ya kimataifa kutoa Hati ya KUMKAMATA Putin ili kunusuru Uhai wa Warussi waliopo vitani na Vita hii isitishwe kwani yaelekea huyu Putin kichwa chake hakiko sawa i.e. haoni vifo vingi namna hii ni kutokana na maamuzi yake binafsi.Kituo kinachofuata ni Drobysheve na Lyman. Urusi wamekufa kama sisimizi
View attachment 2366191
Ndo vizuri. Sababu tutapata mateka wengi wa kukomboa vijana waliotekwa na Urusi. Hawa vijana hadi wafike ukraine hadi katikati ya mwezi wa 10. Wanapelekwa depoInasemekana kwenye public Putin anasema anamobilize watu 300000 lakini in private ni watu wengi zaidi ya hiyo namba. Kwa hiyo ni mwendo wa kupokea barua tu ili usonge mbele!
Wamenikumbusha wakati nikiwa recruit 1992. Mnaambiwa muende kufanya Camouflage, kila mtu akirudi ni vicheko tu. Jeshini kuna raha yake kama unalipenda.Sisi Ukraine ndo Gondor. Wengine ni Mordor. Mfano Warusi wa buza kwa Mpalange.
View attachment 2366622
Kwa hiyo wanapewa mafunzo ya wiki moja Wanapelekwa frontline.Ndo vizuri. Sababu tutapata mateka wengi wa kukomboa vijana waliotekwa na Urusi. Hawa vijana hadi wafike ukraine hadi katikati ya mwezi wa 10. Wanapelekwa depo
Usikute hata hizo ni za kuazima yeye hana tena kitu labda zile za kiraia kama Greener short gunIla Wizara ya Ulinzi ya Urusi, haiwatetei Wanajeshi wake. Ona Silaha wanazowapa. Kwanini wasiwwpe mpya? Eti zinaua kama unabisha kaa pale tutest🤣🤣🤣
View attachment 2366472
Naona Ukraine "anatrot" anazisubiri kwa hamu sana hizo maiti zinazotembea kuelekea Ukraine. Hiyo ni mbolea tayari mkononi.Wamenikumbusha wakati nikiwa recruit 1992. Mnaambiwa muende kufanya Camouflage, kila mtu akirudi ni vicheko tu. Jeshini kuna raha yake kama unalipenda.
Ila kama unalazimishwa kama warusi mwaka mmoja wa recruit unaona kama mitano.
Ukraine wanazisubiria Maiti zinazotembea kwa ajili ya mbolea.
Yaan dah! Kulazimishwa kwenda kupigana vita isiyo na malengo wala manufaa kwa Taifa lako; kunasababisha msongo wa mawazo(Stress) na athari kubwa kisaikolojia. Putin asishangae kwamba huenda anazalisha tatizo jingine la kuwepo askari vichaa wengi miongoni mwa askari wake.Hawa ndo wale mobilized "pabydanosnaya"🤣🤣🤣. Yaani Ukriane wanaenda kujiokotea Silaha zilizotupwa na hawa madogo
View attachment 2366545
Wenzao wanakuja kujiunga nao 👆☝️wakiwa kama "moilized".Wamekufa kama sisimizi
View attachment 2366544
Ni mbinu za kivita, mkiwa vitani, mkiona mumezidiwa mnavua gwanda mnajichanganya la raia kwenye daladala. Sasa huyu kadakwa mapema wakati ababadilisha nguoSijaelewa huyu imekuwaje? Ni raia alikuwa anakimbia/toroka asijumuishwe kwenye wale mobilised au ni askari Mrusi kavua nguo ili ajichanganye uraiani?
Kula na kulipa ndo mtindo wa kisasa. Ukidakwa halafu Ukiulizwa jina lako na Ukataja jina lako ni Almusilamiyanovick unaelekezwa Kibla. Ukitaja jina lako ni Christiastenovick unaelekezwa kokote then chinja. 😂 😂 😂 😆Wakuu, juzi kati wakati wa Ukombozi wa Balaklia na Izyum, Urusi walisambaza picha ya kimchinja Mwanajeshi wa Ukraine. Leo vijana wetu wa Azov nao wamelipiza kisasi kwa kusambaza video za Warusi wakichinjwa. Simple
View attachment 2366821
Ndio - wamejiongeza fasta. Gari linaweza kutafutwa jingine mbele ya safari.Hawa ni Warusi wanaokimbilia Georgia ili wasipekekwe Ukraine vitani. Baada ya kuona foleni imekuwa kubwa boda, ikabidi wateleke magari Wavuke kwa miguu ili Wasirudishwe Urusi
View attachment 2366412
Hiyo inaitwa WIN WIN situation. 😂😂😂Wakuu, juzi kati wakati wa Ukombozi wa Balaklia na Izyum, Urusi walisambaza picha ya kimchinja Mwanajeshi wa Ukraine. Leo vijana wetu wa Azov nao wamelipiza kisasi kwa kusambaza video za Warusi wakichinjwa. Simple
View attachment 2366821
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseee noma sana hii vita utadhani mtu hakujipanga amekurupuka tu usingizini.Broo, Walikuwanazo silaha nzuri tuu; ila wenzao Si walizitelekeza porini pale walipokimbia hata bila viatu? Dah! Bado kidogo tutasikia wamegawiwa rungu, panga na mikuki na kuambiwa "Haya songa mbele" utadhani wanaenda kupambana na panya rodi.
Kuna mahali nimesoma kwamba Germany ipo tayari kuwapokea askari wa Urusi na wote wanaompinga Putin na kuwapa hifadhi ambao hawataki kupigana vita, kwahiyo kama ni kweli wengi watajisalimisha.Kuna haja ya UN / Mahakama ya kimataifa kutoa Hati ya KUMKAMATA Putin ili kunusuru Uhai wa Warussi waliopo vitani na Vita hii isitishwe kwani yaelekea huyu Putin kichwa chake hakiko sawa i.e. haoni vifo vingi namna hii ni kutokana na maamuzi yake binafsi.
Ingewezekana askari wa Urussi iwe kwao ni kipaumbele kujisalimisha (it is a priority to surrender). Ni maoni yangu tu lakini.