figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,321
Kumbe warusi wameshazoea kwenda na msafara wa magari? Nadhani hii ya kyiv itakuwa ni mwanzo na mwisho lile li msafara la 64Km😂Hali ya vita ilivo.Picha nao 3 ni kwa juu ni mwaka 2008 Rusia alivoivamia Georgia kijeshi na Kwa chini ni raia wa Urusi wakiwa kwenye msafara wa kuingia nchini Georgia kukwepa partial mobilization.View attachment 2367068View attachment 2367072View attachment 2367073
Mrusi kakataa katakata kwenda Vitani Ukraine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mtapiga mniue
View attachment 2367375
Wengi watajisalimisha, kwa kifupi; vita inaelekea ukingoniWakati Putin akisaini sheria ya kufungwa kwa miaka 10 kwa Mwanajeshi wake atakayejisalimisha kwa Ukraine au kugoma kushambulia akiwa Frontline, Zelensky amewataka watakaotaka kujasalimisha wafanye hivyo watawapokea na ikibidi watawapa Uraia, na asiyetaka kubadilishana na wafungwa wa urusi watamsikiliza. Pia kasema watakaojisalimisha itakuwa siri na watapata huduma zote na hela za kusaidia familia zao zilio Urusi.
Hapa chini kwenye Video ni gari la Kivita la Italia aina ya Iveco LMV ikiwa inatumiwa na Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Mkoani Kherson
View attachment 2367482
Kwanini Mkuu? Hii ni vita, kila silaha ina mbabe wake. Tulia uone mambo, usitishwe na propaganda.Hizi drone za Iran zinataka kuwa changamoto kwa ukraine.
Watawapokea wengi sana.Wakati Putin akisaini sheria ya kufungwa kwa miaka 10 kwa Mwanajeshi wake atakayejisalimisha kwa Ukraine au kugoma kushambulia akiwa Frontline, Zelensky amewataka watakaotaka kujasalimisha wafanye hivyo watawapokea na ikibidi watawapa Uraia, na asiyetaka kubadilishana na wafungwa wa urusi watamsikiliza. Pia kasema watakaojisalimisha itakuwa siri na watapata huduma zote na hela za kusaidia familia zao zilio Urusi.
Hapa chini kwenye Video ni gari la Kivita la Italia aina ya Iveco LMV ikiwa inatumiwa na Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Mkoani Kherson
View attachment 2367482
Kweli mkuu ngoja tuone katika hili lakini so far urusi hawana jipya ukiachana na hizi drone ambazo wanatumia sana kwa sasa.Kwanini Mkuu? Hii ni vita, kila silaha ina mbabe wake. Tulia uone mambo, usitishwe na propaganda.
Sijawahi kuona popote duniani kazi za kulazimisha, ni mara ya kwanza kuona Urusi wanalazimisha watu wao waende vitani baada ya kuona mambo yamekuwa mazito. Mtu huyo hata ukimlazimisha ataweza kupigana wakati yuko tayari ku surrender hata kabla ya kusikia risasi.Mrusi kakataa katakata kwenda Vitani Ukraine🤣🤣🤣. Mtapiga mniue
View attachment 2367375