Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hatimaye ulinzi wa anga umefika Frontline ya Ukraine. NASAMS air defence system kutoka Norway ikiwa na AIM-9X, AMRAAM AMRAAM. Hii inafanya iwe ngumu Drones za Iran na Makombora kupenya
20220926_151351.jpg

20220926_151856.jpg
 
Sijawahi kuona popote duniani kazi za kulazimisha, ni mara ya kwanza kuona Urusi wanalazimisha watu wao waende vitani baada ya kuona mambo yamekuwa mazito. Mtu huyo hata ukimlazimisha ataweza kupigana wakati yuko tayari ku surrender hata kabla ya kusikia risasi.
Na wengi watafanya hivyo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yaani EU ikitoa ofa ya kuwapa hifadhi ya ukimbizi askari wa Urusi, watakimbia wengi
Wengi wameshafanya uharifu sana, EU hawawezi kubali hilo swala, ni sawa unamkaribisha adui kitandani.

Ukraine yatakiwa iwakubali afu iwape silaha wapambane dhidi ya urusi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Israel wameingiza Ukriane ant drones system(the Drone Dome) kuapambana na Drone za Urusi. Huu ndo mwisho wa drones za Urusi. Mzigo Ushafika Odessa.. Kumbuka tangu Vita ianze, Urusi wameshindwa kabisa kusogelea Mji wa Odessa wenye bandari ambayo inafanya kazi hadi leo.
View attachment 2368150
Kapeleka kufanyia majaribia drone za Iran

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Iran alimpa drones Russia. Sasa hivi huko Iran kuna maandamano kupinga kwa yule binti(22) kuuawa na Polisi kisa hajavaa hijabu.

Wairan wamekasirika sana.Serikali imeshut down internet, US imesema itahakikisha mitandao inapatikana hasa Instagram na Whsap ambayo inatumiwa na watu wengi zaidi.

Facebook nao wanasema wanafanya juu chini ili ipatikane. So amepewa kazi ya kuzima maandamano nchini mwake huku Russia akipelekewa moto.

China na India zmeshajitenga zinamwambia amalize vita tu.North Korea yeye anarusha ballistic za majaribio. Ukiangalia hii vita inaelekea kuisha au Putin afanye maamuzi ya uwendawazimu azifyatue nyuklia kwamba sote tukose ambavyo ataiumiza sana nchi yake.

Je watamruhusu?
Nukes hataweza itumia

Ila anaweza teketeza wote walio kherson

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuona popote duniani kazi za kulazimisha, ni mara ya kwanza kuona Urusi wanalazimisha watu wao waende vitani baada ya kuona mambo yamekuwa mazito. Mtu huyo hata ukimlazimisha ataweza kupigana wakati yuko tayari ku surrender hata kabla ya kusikia risasi.
Wakiomba Afrika, wanaweza kupata vijana wengi wenye nia ya kupigana kwa kujiunga na jeshi lao
 
Iran alimpa drones Russia. Sasa hivi huko Iran kuna maandamano kupinga kwa yule binti(22) kuuawa na Polisi kisa hajavaa hijabu.

Wairan wamekasirika sana.Serikali imeshut down internet, US imesema itahakikisha mitandao inapatikana hasa Instagram na Whsap ambayo inatumiwa na watu wengi zaidi.

Facebook nao wanasema wanafanya juu chini ili ipatikane. So amepewa kazi ya kuzima maandamano nchini mwake huku Russia akipelekewa moto.

China na India zmeshajitenga zinamwambia amalize vita tu.North Korea yeye anarusha ballistic za majaribio. Ukiangalia hii vita inaelekea kuisha au Putin afanye maamuzi ya uwendawazimu azifyatue nyuklia kwamba sote tukose ambavyo ataiumiza sana nchi yake.

Je watamruhusu?
Mkuu, Kwa hali ilivyo kwa sasa, kunaweza kukatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe Warussi i.e. wale wanaomwunga mkono Putin na wale wanaoupinga uongozi wake.
Wale wanaomwunga mkono Putin ambao jeshi la nchi litakuwa upande wao, jeshi hilo tayari limeshadhoofishwa na hii vita inayoendelea na hata baadhi yao watajiunga upande wa wale wanaompinga. Wale wanaompinga watapata support (indirectly) kutoka Ukraine na directly kutoka kwa mataifa yanayoisupport Ukraine kwa sasa e.g. US/NATO.
Hao wanaompinga watamlazimisha aanze kukimbia-kimbia kama Idi Amin au Osama bin Laden au kuishi mafichoni kama Saddam Hussein na Muammar Gaddafi yaani hatopata tena muda wa kuzifikia hizo Nuklia zake atakuwa anaishi kifungo cha ndani bila kujijua.
 
Angalia Mrusi anavyotia huruma. Ukimuachia hapa akipewa bunduki anakufyatua. Frontline hutakiwi kuwa na huruma. Ni kosa sababu huruma zako zinaweza sababisha kikosi chote kikateketezwa
 
Back
Top Bottom