figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,401
Wanajeshi wa Urusi waliojisalimisha wakiwa wanapewa Huduma ya kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone itakuwaje.Nukes hataweza itumia
Ila anaweza teketeza wote walio kherson
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Inaweza kuwa kweli maana Germany ametoa ofa kwa wanajeshi wa Russia ambao hawako tayari kupigana vita atawapokea na kuwapa hifadhi ya ukimbizi ,vile vile akasema hata kama kuna watu wengine raia wa Russia ambao hawakubaliani na Putin waende watapokelewa.Mkuu, Kwa hali ilivyo kwa sasa, kunaweza kukatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe Warussi i.e. wale wanaomwunga mkono Putin na wale wanaoupinga uongozi wake.
Wale wanaomwunga mkono Putin ambao jeshi la nchi litakuwa upande wao, jeshi hilo tayari limeshadhoofishwa na hii vita inayoendelea na hata baadhi yao watajiunga upande wa wale wanaompinga. Wale wanaompinga watapata support (indirectly) kutoka Ukraine na directly kutoka kwa mataifa yanayoisupport Ukraine kwa sasa e.g. US/NATO.
Hao wanaompinga watamlazimisha aanze kukimbia-kimbia kama Idi Amin au Osama bin Laden au kuishi mafichoni kama Saddam Hussein na Muammar Gaddafi yaani hatopata tena muda wa kuzifikia hizo Nuklia zake atakuwa anaishi kifungo cha ndani bila kujijua.
Nadhani ilikuwa kabla hata kabla hawajakifikia kisiwa cha Snake.Hivi Mkuu; Odessa ilipigwa makombora baada ya Ukraine kuwa imeshapokea hizo anti Drones system (the Drone dome) au kabla? Hiyo data ya Google ni ya lini?
Odessa inashambuliwa kwa meli. Odessa ni pwani na kuna bandari kubwa, ndo kila siku Urusi wanapambana waiteke ila kila wwkipanga shambulizi wanakuta Ukriane wapo Vizuri.Nadhani ilikuwa kabla hata kabla hawajakifikia kisiwa cha Snake.
Na ni mji wa Kitalii kwahiyo Russia anatamani aiteke ili avuruge utalii ndio maana alikuwa akilenga majengo ya zamani kwenye huo mji lengo ayaharibu.Odessa inashambuliwa kwa meli. Odessa ni pwani na kuna bandari kubwa, ndo kila siku Urusi wanapambana waiteke ila kila wwkipanga shambulizi wanakuta Ukriane wapo Vizuri.
Jamaa anasema hakuna hata ndoo ya kutupa takataka
View attachment 2369372
Hawa wamechagua kutojiunga na hao Warussi wenzao waliolala usingizi wa milele.Hawa Warusi baada ya kuona wenzao wengi wamekufa na wengine kujeruhiwa, ikabidi wajisalimishe. Ni baada ya kupelekewa moto. Muda wote walikuwa hawajaona drone kama ipo juu yao
View attachment 2369572
Kama Putin na Genge lake bado wanazo chembe za Ufahamu vichwani mwao; hii ni salaam tosha kutoka kwa watu walio nje na ndani ya nchi yake wanavyomwona Putin katika vita hii baina yake na Ukraine. Wanamwambia yupo uchi, asimame chap avae boxer yake na kuisitiri aibu yake i.e. Abadilike na aachane na hiyo vita ya kunya - haina maslahi kwake.Wananchi wa Jamhuri ya Czech, wametenegenza sanamu la Putini akiwa amekalia cho dhahabu na kuiweka mbele ya Ubalozi wa Urusi
View attachment 2369583
Kama wewe ni "Christianescovick" soma Math.5:43 - 48.Wanajeshi wa Urusi waliojisalimisha wakiwa wanapewa Huduma ya kwanza
View attachment 2369592
Hii ndio ilikuwa inasubiriwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha
View attachment 2369796
Hicho kifundo ni nini katikati ya miguu 😂😂😂 au ni bomu la warusi limegoma kulipuka.Wakiona miili ya Warusi imetapakaa hivi, wanaogopa
View attachment 2369890