figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,481
Wewe. HIMARS zipo nyingi Ulaya.. Watapeleka hizo. Soon utasikia zimefika. Hiyo ni zuga kwa maaduiNadhani zitachukua muda kufika, maana ndo zinatengenezwa kiwandani.
Mzigo huo (18 HIMARS) ukifika warusi wajiandae tu kuondoka maana watakatiwa supply routes zote kila pembe ya eneo walilojimilikisha
Natamani wangetoa makombora ya masafa marefu (long range) ili washenzi hawa washughulikiwe. Wao wanarusha makombora ya masafa marefu kutokea Russia kwa nini Ukraine isiwajibu.