Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hakika Putin kapanic. Mcheza ngumi za Dunia wa Urusi mstaafu, Nikolai Valuev miaka 49 atakiwa asitoroke. Kapelekewa Barua anatakiwa kwenda Vitani Ukraine. Ngumi za Tyson hazikumuua, anaenda kuuliwa na Vijana wasio na huruma AZOV. Nadhani Warusi wameanza kumchukia Putin kwa hii style ya kuwalazimisha kwenda Vitani.
View attachment 2371858
Labda anafikiri uwanja wa vita ni sawa na stage ya ngumi.

mtu hufundishwa jeshi akiwa na umri mdogo na awe anapenda mwenyewe "has a passion and self commitment to serve the military."

Hii ya kulazimisha watu wazima kujiunga jeshi na kùwapeleka kupigana wajiandae kupokea maiti ama kuwa mbolea ya Ukraine. Amebahatika sana ni kuwa mateka au majeruhi. Anavyo prolong vita ndiyo anavyopunguza kizazi chàke. U.S, NATO, EU hawawezi kurudi nyuma kwenye vita hii, watamtia adabu Putin.
 
Tofauti ya Wakimbizi wa Urusi na Wakimbizi wa Ukraine.
IMG_20220929_220253_709.jpg
IMG_20220929_220249_470.jpg
 
Hakika Putin kapanic. Mcheza ngumi za Dunia wa Urusi mstaafu, Nikolai Valuev miaka 49 atakiwa asitoroke. Kapelekewa Barua anatakiwa kwenda Vitani Ukraine. Ngumi za Tyson hazikumuua, anaenda kuuliwa na Vijana wasio na huruma AZOV. Nadhani Warusi wameanza kumchukia Putin kwa hii style ya kuwalazimisha kwenda Vitani.
View attachment 2371858
Mkuu mimi warusi siwaonei huruma acha wasagwe huko front line.

Wakati Putin ana amuru jeshi livamie ukraine mpk Zelensky analia wanamuonea na dunia inamtenga walikuwa wanafurahi sasahivi Ukraine wamepewa silaha hesabu zinaenda vizuri kwake Urusi ndio wanaanza kulia lia huu ni unafiki wa kiwango cha lami.
 
Basi wewe Georgia ni ndugu zako. Wananchi wa Georgia wanawaambia Wakimbizi wa Urusi warusi kwao waende Ukriane Frontline. Kwamba walikuwa wanashangilia vita ilipoanza
 
Azov ipi wewe unayoizungumzia wakati ilishasambaratishwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom