Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
20220929_231431.jpg
 
View attachment 2371974
Mambo yatakubali tu
 
Nilisema tusubiri kuona mizoga mingi Lyman wiki hii. Escape route imeshazibwa. Labda waingie porini
 
hao warusi wangejuwa wanavyosifiwa na wanaume wenzao huku JF kwamba wao ni vidume wamemvimbia USA japo wangeficha sura zao.
Kila mtu anatamani kwenda ishi kwa mashoga, hata hao waarabu koko wenye misimamo mikali ukiwaambia wabaki kwao au waende kwa Lady Liberty, watachagua Lady Liberty
 
Kumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
View attachment 2371974
Urusi atatumia nukes hapo, maana Lyman tayari iko ndani ya Urusi
 
Kumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
View attachment 2371974
Jipeni moyo wa kishujaa na muwatwange wote. Tunawatakia mafanikio -Mungu awajasirishe ili muweze kufanikisha azma yenu hiyo tukufu. Amina.
 
Nilisema tusubiri kuona mizoga mingi Lyman wiki hii. Escape route imeshazibwa. Labda waingie porini
Porini?? Mbona huko ndo hawawezi kabisa. Mrussi kwa habari ya porini ni mchovu kweli kweli. Bora tu ajisalimishe
 
Kwahiyo atakuwa anaua wananchi wake? Hahahaa...! Hiyo kitu haipo. Na Urusi anatamani na kuota kumiliki mikoa ya nchi jirani kwa kujivunia uwezo wake. Safari hii kayakanyaka. Hakuna jirani wa Urusi ambaye hajawahi Vamiwa.
Kwa mantiki hiyo majirani wote wa Urussi wanaiombea Ukraine kila la kheri afanikiwe kwadabisha huyo Mbabe. Kumbe ushindi kwa Ukraine ni HAKIKA.
 
Back
Top Bottom