OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
IFAC njoo huku ujionee mwenyewe AZOV wakitoa somo hapa. 👆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IFAC njoo huku ujionee mwenyewe AZOV wakitoa somo hapa. 👆
Mambo yatakubali tuKumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
View attachment 2371974
Nilisema tusubiri kuona mizoga mingi Lyman wiki hii. Escape route imeshazibwa. Labda waingie poriniKumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
View attachment 2371974
Kila mtu anatamani kwenda ishi kwa mashoga, hata hao waarabu koko wenye misimamo mikali ukiwaambia wabaki kwao au waende kwa Lady Liberty, watachagua Lady Libertyhao warusi wangejuwa wanavyosifiwa na wanaume wenzao huku JF kwamba wao ni vidume wamemvimbia USA japo wangeficha sura zao.
Urusi atatumia nukes hapo, maana Lyman tayari iko ndani ya UrusiKumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
View attachment 2371974
Mbona waandishi wetu wa media za Afrika hawaendi huko?Mwandishi wa BBC katuma Video akiwa Kherson na Frontline ya Ukraine. Si mchezo
View attachment 2371998
Jipeni moyo wa kishujaa na muwatwange wote. Tunawatakia mafanikio -Mungu awajasirishe ili muweze kufanikisha azma yenu hiyo tukufu. Amina.Kumbe zile ndege 4 za Urusi zilizoangushwa juzi, walikuwa wanapambana kuwakomboa Wenzao ambao wanakaribia kuzingirwa huko Donbas. Jeshi la Ukraine linakaribia Kuzingira Wanajeshi 3,000 wa Urusi huko Lyman, Mkoani Donbas. Hawa 3000 tukiwakamata itapendeza zaidi. Japo tuteke 500 na 500 majeruhi wengine wafe. Ukiwakamata wote kuwatunza gharama. Njia zote zishafungwa. Hadi jumapili tutakuwa tumejua mbichi na mbivu.
View attachment 2371974
Porini?? Mbona huko ndo hawawezi kabisa. Mrussi kwa habari ya porini ni mchovu kweli kweli. Bora tu ajisalimisheNilisema tusubiri kuona mizoga mingi Lyman wiki hii. Escape route imeshazibwa. Labda waingie porini
Weweee! Kazi ngumu hiyo na ya hatari - yataka moyo.Mbona waandishi wetu wa media za Afrika hawaendi huko?
Tangu lini mkuu? Hebu tufafanulie kidogo.Urusi atatumia nukes hapo, maana Lyman tayari iko ndani ya Urusi
Kwahiyo atakuwa anaua wananchi wake? Hahahaa...! Hiyo kitu haipo. Na Urusi anatamani na kuota kumiliki mikoa ya nchi jirani kwa kujivunia uwezo wake. Safari hii kayakanyaka. Hakuna jirani wa Urusi ambaye hajawahi Vamiwa.Tangu lini mkuu? Hebu tufafanulie kidogo.
Kwa mantiki hiyo majirani wote wa Urussi wanaiombea Ukraine kila la kheri afanikiwe kwadabisha huyo Mbabe. Kumbe ushindi kwa Ukraine ni HAKIKA.Kwahiyo atakuwa anaua wananchi wake? Hahahaa...! Hiyo kitu haipo. Na Urusi anatamani na kuota kumiliki mikoa ya nchi jirani kwa kujivunia uwezo wake. Safari hii kayakanyaka. Hakuna jirani wa Urusi ambaye hajawahi Vamiwa.
Kaza buti. Kazi imeisha hiyo.Lyman bado kidogo.
View attachment 2372299