Labda anafikiri uwanja wa vita ni sawa na stage ya ngumi.Hakika Putin kapanic. Mcheza ngumi za Dunia wa Urusi mstaafu, Nikolai Valuev miaka 49 atakiwa asitoroke. Kapelekewa Barua anatakiwa kwenda Vitani Ukraine. Ngumi za Tyson hazikumuua, anaenda kuuliwa na Vijana wasio na huruma AZOV. Nadhani Warusi wameanza kumchukia Putin kwa hii style ya kuwalazimisha kwenda Vitani.
View attachment 2371858
mtu hufundishwa jeshi akiwa na umri mdogo na awe anapenda mwenyewe "has a passion and self commitment to serve the military."
Hii ya kulazimisha watu wazima kujiunga jeshi na kùwapeleka kupigana wajiandae kupokea maiti ama kuwa mbolea ya Ukraine. Amebahatika sana ni kuwa mateka au majeruhi. Anavyo prolong vita ndiyo anavyopunguza kizazi chàke. U.S, NATO, EU hawawezi kurudi nyuma kwenye vita hii, watamtia adabu Putin.