figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,481
Wewe. HIMARS zipo nyingi Ulaya.. Watapeleka hizo. Soon utasikia zimefika. Hiyo ni zuga kwa maaduiNadhani zitachukua muda kufika, maana ndo zinatengenezwa kiwandani.
Mzigo huo (18 HIMARS) ukifika warusi wajiandae tu kuondoka maana watakatiwa supply routes zote kila pembe ya eneo walilojimilikisha
Natamani wangetoa makombora ya masafa marefu (long range) ili washenzi hawa washughulikiwe. Wao wanarusha makombora ya masafa marefu kutokea Russia kwa nini Ukraine isiwajibu.
Wazee wa HIMARS ukiwasikia basi ndo hao.Naipenda sana hii kitu. Huwa inanipa raha sana. Bila hii kitu Chmonya wangetutesa sana. Asante sana U.S
Hela itamponza kijana . AZOV wakimdaka ndo basi tena imekula kwake. Kifo ni 100%.Huy Mnaijeria anaitwa Joseph, alienda kusoma Urusi, vita ilipoanza wakaenda Ukriane Kherson. Kaachana na Masomo sasa anataka kupelekewa Donbas, je atarudi sakama mbele ya Azov? Unahisi wakimdaka itakuaje?
View attachment 2371069
Tarehe February 26, 2021 hizi HIMARS 18 zilipelekwa Romania. Romani na Ukraine zinapakana. So ni fasta tu kupeleka hiziNadhani zitachukua muda kufika, maana ndo zinatengenezwa kiwandani.
Mzigo huo (18 HIMARS) ukifika warusi wajiandae tu kuondoka maana watakatiwa supply routes zote kila pembe ya eneo walilojimilikisha
Natamani wangetoa makombora ya masafa marefu (long range) ili washenzi hawa washughulikiwe. Wao wanarusha makombora ya masafa marefu kutokea Russia kwa nini Ukraine isiwajibu.
Ameenda jeshini kwa ridhaa yake au kalazimishwa?Huy Mnaijeria anaitwa Joseph, alienda kusoma Urusi, vita ilipoanza wakaenda Ukriane Kherson. Kaachana na Masomo sasa anataka kupelekewa Donbas, je atarudi sakama mbele ya Azov? Unahisi wakimdaka itakuaje?
View attachment 2371069
Pentagon ndo wamesema hivo, kuwa hawatatoa kutoka kwenye stock yao badala yake zinatengenezwa .Wewe. HIMARS zipo nyingi Ulaya.. Watapeleka hizo. Soon utasikia zimefika. Hiyo ni zuga kwa maadui
Inamaana hata wasiokuwa raia wana lazimishwa au wanapenda wao wenyewe kuingia vitani?Wazee wa HIMARS ukiwasikia basi ndo hao.
Hela itamponza kijana . AZOV wakimdaka ndo basi tena imekula kwake. Kifo ni 100%.
Daaaah pole yake.ningekua kua mm najifanya nimekufa kisha najisalimisha tuHuyu Mtanzania anaishi Krasnodar huko Urusi, ni moja ya Vijana wa Kiafrika wanaoishi Urusi ambao wamekuwa Mobilized[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2370584
👏👏👏👏Tarehe February 26, 2021 hizi HIMARS 18 zilipelekwa Romania. Romani na Ukraine zinapakana. So ni fasta tu kupeleka hizi
View attachment 2371085View attachment 2371086
Subiri uone. Hata wiki mbili haziishi.Pentagon ndo wamesema hivo, kuwa hawatatoa kutoka kwenye stock yao badala yake zinatengenezwa .
Nakubaliana nawe kuwa inaweza ikawa wanamzuga adui ili asijue kama zinakuja.
Huyu ni Mnaijeria(Nigeria citizen) na alikuwa Urussi kama mwanafunzi. Vita ilipokolea na yy akasikia kwamba watakaojiunga na jeshi la Urussi wanaokwenda vitani watalipwa donge nono. Kwa tamaa yake na kwa hiari yake yy kaamua kujilipua i.e. kwa ridhaa yake kajiandikisha na kuingia jeshini kama mpiganaji upande wa Mrussi. Huko vitani aliko sasa kama atadakwa na AZOV (Vijana wasio na kanuni) ajue 100% ndo mwisho wa uhai wake. Hao AZOV hawachukui mateka kwani AZOV wanadai hawana time na chakula cha kulisha mateka tena wana hasira kali mno na askari wa kiRussia kutokana na jinsi askari wa Russia walivyowatendea kule Mariupol. Kutokana na hilo,wakimdaka askari wa Russia ni kuwaua tu hakuna cha mswalie mtume.Inamaana hata wasiokuwa raia wana lazimishwa au wanapenda wao wenyewe kuingia vitani?
Ni kwa ridhaa yake. Labda iwe Tamaa yake mwenyewe ndiyo imemlazimisha.Ameenda jeshini kwa ridhaa yake au kalazimishwa?
Mkuu, hebu Thibitisha.Uzi wa kipropaganda unaodhaminiwa na ubalozi wa Marekani Tanzania.
Vyote kwa pamoja.Inamaana hata wasiokuwa raia wana lazimishwa au wanapenda wao wenyewe kuingia vitani?
Ukraine wanazingatia sana Masharti na Vigezo. Laiti tu itokee siku masharti na vigezo vimebadilika, Mrussi hakika ataonja joto ya jiwe.Nadhani zitachukua muda kufika, maana ndo zinatengenezwa kiwandani.
Mzigo huo (18 HIMARS) ukifika warusi wajiandae tu kuondoka maana watakatiwa supply routes zote kila pembe ya eneo walilojimilikisha
Natamani wangetoa makombora ya masafa marefu (long range) ili washenzi hawa washughulikiwe. Wao wanarusha makombora ya masafa marefu kutokea Russia kwa nini Ukraine isiwajibu.
Anaenda kuwa mbolea sasaNi kwa ridhaa yake. Labda iwe Tamaa yake mwenyewe ndiyo imemlazimisha.