Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi kila siku tunawaambia hao watu wao wasije Frontline ila hawasikii. Huku wanakuja kufa. Wanajeshi wenye ujuzi tushawamaliza,, hawa kuruta wataweza nini? Ukraine kuna vifaa vya kisasa. Unapigwa na mtu alokaa ofisini kwenye a/c
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wana roho mbaya. Angalia walivyo choma vitabi shuleni. Vitabu vimewakosea nini?
Hii ni shule ya Mariupol namba 48
View attachment 2372485
Ndiyo. Kosa la vitabu ni kwamba Elimu kutoka kwenye vitabu hivyo vimewafungua akili na kuongeza maarifa kwa wana wa waUkraine ndio maana wanawachachafya vikali na wanawatwanga Warussi hivyo - Warussi wakiisikia Ukraine hawapati usingizi.
Hiyo ndio akili ya mtu Mpumbavu aliyekubuhu katika Ujinga wake.
 
Mkuu, msichoke kuwaambia hilo ili laana juu yao izidi sana kuongezeka na kujaa kikombe chao LAKINI narudia tena LAKINI msiache ile kazi nzuri iliyotukuka ya kuwabutua, kuwatwanga, kuwafyekelea mbali hadi watokomee ama warudi kwao Urussi au kuwageuza mbolea kwenye ardhi ya Ukraine. Hilo ndo la msingi sana.
 
Naona putin ashachukua majimbo Ukraine na kuyafanya yawe chini ya urusi....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…