figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa uhalisia Ukraine wanaonesha wako smart kuliko Urusi, maana Lyman ilionekana kuzingirwa toka wiki iliyopita ila wakapuuza na kweli wamezingirwa na inasemekana hakuna aliyetorokaHii mbinu tangu waanze offensive mission imekuwa ikitumika sana. Himars kazi yake ndio hiyo jamaa wako very strategic.
Aidha wanaripua depot za silaha au wana kata supply route kwa kuripua madaraja matokeo yake urusi wanakosa supply wana achia maeneo tu.
Wamekuwa kama nyaniLogistics za Urusi mbaya sana. Mobilized wanaishiwa chakula hadi wanaomba ndugu wawaletee. Utafikiri wafungwa.
View attachment 2373846
Yaweza kuwa ni kutii " not a step back "Yaani kwa uhalisia Ukraine wanaonesha wako smart kuliko Urusi, maana Lyman ilionekana kuzingirwa toka wiki iliyopita ila wakapuuza na kweli wamezingirwa na inasemekana hakuna aliyetoroka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hahahaaa. Yaani mrussi ameshakamatiwa chini eti sasa ndio anasema tuzungumze - waapi; Naunga mkono hoja na nakazia Hakuna cha mazungumzo "Time out" Akung'utwe kisawasawa hapo hadi pepo la vita limtoke na ajue kuheshimu nchi za wengine na sio kuvamia-vamia hovyo wenzake. Daadek.Ukraine wasikubali hayo mazungumzo. Wawakandamize ili liwe funzo. Kama ni mateka wa kubadirishana watapatikana mbele kwa mbele.
Kifo cha kizembe.Kinacho waponza Urusi ni kiburi. Wanaambiwa wajisalimishe wanajidai kukimbia. Frontline ya Ukraine ikisema jisalimishe wanakuwa na uhakika wa kuwazunguka na kuwazidi nguvu. Hawa wamegoma kujisalimisha wakajifanya kukimbia hawakufika mbali.
Ushauri: Mtu mwenye mtutu akikupa nafasi ya kujisalimisha fanya hivyo. Ona sasa
View attachment 2373526