Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Umekosea mlango. Hii thread inahusu mafanikio ya Ukraine. Kwa upande wa mafanikio ya Urusi kapost kwenye thread husika. Jifunze ustaarabu na tumia akili kabla ya kupost. Hapa hatushindani na mtu bali tunapost yanayotuhusu. Acha kutuchafulia uzi kwa habari za uongo. Hii inahusu strength zetu.
Mkuu; Huyo ametumwa.
 
Special Force wa Frontline ya Ukraine wameshafika Lyman tayari. Waone hivi, hawa ni Makomandoo.

Hope Jumapili ya kesho itakuwa siku ya furaha kwa Ukraine. Kumbuka Lyman imezungukwa tu bado haijakombolewa. Ukraine inatumia akili nyingi kuingia huu mji. Wanahakikisha Warusi hawatoki
View attachment 2373738
Hapo sasa. Mrussi lazima poo imtoke.
 
Hii mbinu tangu waanze offensive mission imekuwa ikitumika sana. Himars kazi yake ndio hiyo jamaa wako very strategic.

Aidha wanaripua depot za silaha au wana kata supply route kwa kuripua madaraja matokeo yake urusi wanakosa supply wana achia maeneo tu.
Wahenga walisema "Penye wazee haliharibiki neno" Hao ndo Wazee wa HIMARS. Hawajawahi kumLet down mtu. Kama ni kutoa kichapo basi ujue ni kichapo kweli kweli hadi mtu anaomba poo. Mrussi(Putin) anajutia sana kitendo chake cha kuanzisha hii vita manake inamgharimu mno Vifaa/Mali; Akili (inampa stress), Imeyumbisha sana Uchumi wa nchi, Vijana wake askari wengi wameuawa na bado wanaendelea kufa, kuwa vilema; Kimataifa vita hii imemuumbua i.e. ni aibu kwake, amejiongezea/amejilimbikizia maadui na hakuna dalili hata chembe ya yeye kushinda katika vita hii.
 
Frontline.. Halafu Warusi wanamuogopa mtu kama huyu wanakimbilia Georgia 🤣🤣🤣
IMG_20221001_153812_250.jpg
 
Kinacho waponza Urusi ni kiburi. Wanaambiwa wajisalimishe wanajidai kukimbia. Frontline ya Ukraine ikisema jisalimishe wanakuwa na uhakika wa kuwazunguka na kuwazidi nguvu. Hawa wamegoma kujisalimisha wakajifanya kukimbia hawakufika mbali.

Ushauri: Mtu mwenye mtutu akikupa nafasi ya kujisalimisha fanya hivyo. Ona sasa
View attachment 2373526
Tuwaombee waendelee kuwa na kiburi ili ardhi ya Ukraine ipate rutuba ya kutosha. Hao 6 si haba watapungua taratibu.
 
Urusi Wanataka mazungumzo. Wanataka Ukraine iache kushambulia Lyman(To ceasefire) ili kunguza vifo.

Lakini jana Urusi waliambiwa wajisalimishe hawakutii. Walitaka wapetiwe petiwe.
View attachment 2373758
Ukraine wasikubali hayo mazungumzo. Wawakandamize ili liwe funzo. Kama ni mateka wa kubadirishana watapatikana mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom