OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Dah! Kumbe hata kutoroka Mrussi hajui. Naona wote waliojaribu kutoroka hakuna aliyefanikiwa. Wote Wamelambwa vichwa.Sasa yule Shaggy wa Urusi kafa, walimtelekeza Lyman. Akajifanya kutoroka. Bora wangewambia wajisalimishe, hii kutoroka inawaponza
View attachment 2373810