Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani kwa uhalisia Ukraine wanaonesha wako smart kuliko Urusi, maana Lyman ilionekana kuzingirwa toka wiki iliyopita ila wakapuuza na kweli wamezingirwa na inasemekana hakuna aliyetoroka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ukraine wasikubali hayo mazungumzo. Wawakandamize ili liwe funzo. Kama ni mateka wa kubadirishana watapatikana mbele kwa mbele.
Hahahaaa. Yaani mrussi ameshakamatiwa chini eti sasa ndio anasema tuzungumze - waapi; Naunga mkono hoja na nakazia Hakuna cha mazungumzo "Time out" Akung'utwe kisawasawa hapo hadi pepo la vita limtoke na ajue kuheshimu nchi za wengine na sio kuvamia-vamia hovyo wenzake. Daadek.
Kifo cha kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…