Lyman ishakombolewa. Bendera za Urusi zimeshushwa Siku moja baada ya Urusi kutangaza eti imekuwa Urusi baada ya wananchi kupiga kura kwa ushindi wa 99%. Jana Ilikuwa Urusi leo ipo Ukraine. Urusi wanaigiza, nani wa kuwapa ardhi kwa makaratasi? Hongera Ukraine