Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mwanaume akishapashwa moto hivyo, anapandisha mzuka na munkari kiwanga cha juu anaona kama anacheleweshwa kufika uwanja wa mapambano ili akatoe usongo wa kichapo kitakatifu kwa Mrussi - anaweza hata kuipiga maiti teke kwa hasira na kuiuliza swali "kwa nini we mwanaharamu umekufa kabla sijakufikia? Pumbavu sa.....
 
Hahahaa.Sintoshangaa na huenda inaweza kutokea ambapo Mobilised anakimbilia kujificha kichakani kumbe amejiingiza katikati kabisa ya Wapiganaji wa Ukraine waliojicamouflage. Nadhani hapo Ukraine atammaliza kwa kabali tu ili asijetoa sauti itakayowastua mobilised wengine kuja kujificha hapo kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…