kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hapo ni kama kuna zawadi ya kipekee 🔨🔨💉💉 inapelekwa kwa Mrussi.
Kakaa, Wanayaheshimu sana "mahesabu ya kimkakati" yanavyodai. Ngoja uone jinsi mtu atakavyoteswa na kusulubishwa hapo.Kutumia anga si salama?
Nadhani wangetumia ndege za kivita, wavamizi wangemalizwa kwa haraka.
Hilo ndo "Rhythm Gitaa" ambalo linapopigwa Warussi huitika vyema kwa kucheza sebene ila wanaishia kuwa mbolea.Hii Silaha inaitwa Snipex Alligator. Sniper wetu 💪
View attachment 2374120
Yap! Hapo ni kama Warning kusema kwamba "nyie kenge msijaribu wala msithubutu kuja huku damu zitawatoka masikioni" wanaume tuko huku.Frontline wamevurugwa.. 🤣🤣Huyu anawasikilizia wimbo wa Taifa wa Ukraine Warusi waliokuwa wakimshambulia🤣🤣. Hawa jamaa wana morali ya hali ya juu
View attachment 2374128
Hilo pozi dah! Linaashiria sifa ya ushujaa na ushindi wa kishindo daima. Hii nimeipenda .
Aisee! Usifanye utani na snipers hata siku moja. Hiyo sio ishara au nembo ya konyagi. Wanamaanisha NGUVU zao hawakopeshi; wakikudhamiria ni uhakika wanaondoka na kichwa chako.
Mwanaume akishapashwa moto hivyo, anapandisha mzuka na munkari kiwanga cha juu anaona kama anacheleweshwa kufika uwanja wa mapambano ili akatoe usongo wa kichapo kitakatifu kwa Mrussi - anaweza hata kuipiga maiti teke kwa hasira na kuiuliza swali "kwa nini we mwanaharamu umekufa kabla sijakufikia? Pumbavu sa.....Siku huwa inaanza hivi.
View attachment 2374140
Hey! Kidogo Nilitaka nitoke nduki maana huyo sniper wa katikati niliona kama amenipania mm. Sniper bhana, we acha kabisa. Akikuelekezea au akikunyoshea mtutu basi ujue ni umekwisha hakuna ujanja.
Hahahaa.Sintoshangaa na huenda inaweza kutokea ambapo Mobilised anakimbilia kujificha kichakani kumbe amejiingiza katikati kabisa ya Wapiganaji wa Ukraine waliojicamouflage. Nadhani hapo Ukraine atammaliza kwa kabali tu ili asijetoa sauti itakayowastua mobilised wengine kuja kujificha hapo kama yeye.