figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,741
Safi sana. Mwendo mdundo mmoja.Ni kweli kabisa. Miji ya Arkhanhel's'ke na Myrolyubivka huko Kherson, imekombolewa
View attachment 2375674
Mmh! Ukiacha vile vifaru vinne ikiwemo viwili vya kubebea sanajeshi? Hiyo sehemu inaitwaje? Nimeona Vifaru vinne na magari aina ya BMC Kirpi, M113 na YPR.Jana, Kuna sehemu moja huko Kherson forces za Ukraine zilikuwa zimekusanya vifaru kwa ajili ya kupiga counter offensive, ile formation ikaonwa na reconnainsance aircraft moja ya warusi ikatuma coordinates, vimelipuliwa vifaru vingi sana vya Ukraine. Sijapata taarifa kuhusu hali ya kivitw huko Kherson kwa siku ya leo,Sijui kama Waukraine walikaza au walirudishwa nyuma ngoja nicheki
Hongera sana Ukraine. Kazi imefanyika na kuonekana kwa ufanisi wa kiwango cha juu. Safi sana.
Duh! safi mno. Mungu ibariki Ukraine na juhudi zake ktk mpambano unaoendelea.Ndani ya saa 24,Ukraine wamekomboa 500 kmΒ² Mkoani Kherson.
View attachment 2375956
Wanajeshi wa Ukraine wanajiamini sana (They have over confidence). Adui yuko mita chache lakini wanaona kama yuko 10KM wana relax kabisa. Big up Ukraine solders, you know how to fight.Hawa ni LEGION. Urusi walijifanya kujibu mashambulizi, ikabidi wawazunguke na kuwateketeza wote. Nia ilikuwa wajisalimishe, wao wakarusha risasi
View attachment 2375462
Target ni kuzikomboa Kreminna, Svatove na Rubizhne kwanza ili kukata supply route ya Lysychans'k na Severodonetsk. Kabla ya Ijumaa zitakuwa zimeshakombolewa. Inshalah.Kudadeki, Urusi wamepelekewa moto mkubwa Kreminna/Lysychansk, hadi maji wanasema mmaaπ€£π€£
View attachment 2376374
Kutokea direction ya Mykolaiv, maeneo ya Pravdyne, Solidats'ke, na Blahodatne tuliyakomboa. Lakini wiki kama 3 zilizopita walitunyang'anya tena hayo maeneo baada ya wao kufanya mashambulizi makali. Tulikuwa tuna move kuelekea mji wa Kyselivka lakini jamaa walikaza fuvu wakaturudisha nyuma. Mpaka sasa maeneo hayo bado ni ngome yao.Chanzo cha habari yako ni kipi?
Vipi tena huo mdomo. Unapendelea kunyonya chumvi chumvi nini ππππββοΈπββοΈπββοΈbig up sana kwa makamanda wa Ukraine
Nadhani nyuki wamefanya yao. Ngoja kidogo. Ee bwana Papushikashi sema neno. π π π πββοΈπββοΈπββοΈVipi tena huo mdomo. Unapendelea kunyonya chumvi chumvi nini ππππββοΈπββοΈπββοΈ
ISWChanzo cha habari yako ni kipi?
Mpk nimechekaHapa ni Lyman, Warusi baada ya kuzidiwa wakajifanya kutoroka na school bus, bila kujua shule zimefungwa. Wakapelekewa mto[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2375986