Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ni kweli kabisa. Miji ya Arkhanhel's'ke na Myrolyubivka huko Kherson, imekombolewa
20221003_122856.jpg
 
Jana, Kuna sehemu moja huko Kherson forces za Ukraine zilikuwa zimekusanya vifaru kwa ajili ya kupiga counter offensive, ile formation ikaonwa na reconnainsance aircraft moja ya warusi ikatuma coordinates, vimelipuliwa vifaru vingi sana vya Ukraine. Sijapata taarifa kuhusu hali ya kivitw huko Kherson kwa siku ya leo,Sijui kama Waukraine walikaza au walirudishwa nyuma ngoja nicheki
Mmh! Ukiacha vile vifaru vinne ikiwemo viwili vya kubebea sanajeshi? Hiyo sehemu inaitwaje? Nimeona Vifaru vinne na magari aina ya BMC Kirpi, M113 na YPR.

Vitani ni kawaida kupoteza na kupata. Isitoshe Vifaru tunavyoteka Urusi ndo tunavitanguliza Frontline, mwisho wa siku wanaharibu Vifaru vyao, tatizo ni kupoteza Mwanajeshi. Inauma sana
 
Hawa ni LEGION. Urusi walijifanya kujibu mashambulizi, ikabidi wawazunguke na kuwateketeza wote. Nia ilikuwa wajisalimishe, wao wakarusha risasi
View attachment 2375462
Wanajeshi wa Ukraine wanajiamini sana (They have over confidence). Adui yuko mita chache lakini wanaona kama yuko 10KM wana relax kabisa. Big up Ukraine solders, you know how to fight.
 
Chanzo cha habari yako ni kipi?
Kutokea direction ya Mykolaiv, maeneo ya Pravdyne, Solidats'ke, na Blahodatne tuliyakomboa. Lakini wiki kama 3 zilizopita walitunyang'anya tena hayo maeneo baada ya wao kufanya mashambulizi makali. Tulikuwa tuna move kuelekea mji wa Kyselivka lakini jamaa walikaza fuvu wakaturudisha nyuma. Mpaka sasa maeneo hayo bado ni ngome yao.
 
Back
Top Bottom