figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,781
Kherson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Kherkiv na Luhansk kazi inapigwa siyo ya kitoto. Ukraine troops wamepania kuikomboa Luhansk. Warusi wameshapoteana Luhansk wanahitaji kujipanda upya.Angalia Borova ilivyokombolewa huko Kherkiv. Hapa wananchi wakisaidia kusimika bendera
View attachment 2377201
RIP [emoji120] camandaHuyu anaitwa Yuriy Leliavskyi. Alitekwa na Urusi, juzi walipobadilisha aafungwa akaachiliwa. Baada ya mapumziko akarudi Frontline. Sasa amepumzika. Ukiacha Upoti wake ambapo alikuwa captain, pia alikuwa mwandishi wa habari na msemaji wa Kikosi cha 80th assault brigade. RIP Leli[emoji24][emoji24][emoji24]. Hawa Warusi watatumaliza
View attachment 2377349
Oh! very sad. Kwa kumuenzi comrade Lell; Kila juhudi ifanyike na akikutwa Mrussi anyukwe kwa hasira zote. RIP kamanda LellHuyu anaitwa Yuriy Leliavskyi. Alitekwa na Urusi, juzi walipobadilisha aafungwa akaachiliwa. Baada ya mapumziko akarudi Frontline. Sasa amepumzika. Ukiacha Upoti wake ambapo alikuwa captain, pia alikuwa mwandishi wa habari na msemaji wa Kikosi cha 80th assault brigade. RIP Leli😭😭😭. Hawa Warusi watatumaliza
View attachment 2377349
Kherson inaondoka kabla ya msimu wa baridi kuanzaMiji katika Jimbo la Kherson iliyokombolewa.
1. Novopetrivka
2. Novomykolaivka
3. Novovoskresenke
4. Starosillia
5. Dudchany
6. VelykaOleksandrivka
7. DavidivBrid
Kwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.Miji katika Jimbo la Kherson iliyokombolewa.
1. Novopetrivka
2. Novomykolaivka
3. Novovoskresenke
4. Starosillia
5. Dudchany
6. VelykaOleksandrivka
7. DavidivBrid
Hayo yamekombolewa operation ya juzi na jana babu. Kama hayo maeneo yalikombolewa mwezi uliopita, sasa jana wamekomboa nini?Kwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.
Mrusi anajua ikichukuliwa Kherson, Crimea itakuwa the next. Wameweka nguvu kubwa sana upande huo. Sisi tumeweka nguvu kubwa kuikomboa Donbas.
Nionavyo mìmi Itachukua muda Kherson kuwa liberated. Labda mzigo mpya ukiingia site tunaweza tukapata mafanikio makubwa.
Si kweli Mkuu. Naona majina yamekuchanganya. Ile ilikuwa KherkivKwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.
Mrusi anajua ikichukuliwa Kherson, Crimea itakuwa the next. Wameweka nguvu kubwa sana upande huo. Sisi tumeweka nguvu kubwa kuikomboa Donbas.
Nionavyo mìmi Itachukua muda Kherson kuwa liberated. Labda mzigo mpya ukiingia site tunaweza tukapata mafanikio makubwa.
Ukraine imesonga zaidi ya KM 24 ndani ya Kherson, na kwa sasa wanajeshi wa Urusi wanaretreatKwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.