Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Intelijensia ya UK inasema hivi.

1664978320608.png
 
Angalia Frontline ya Ukriane ilivyo shambuliwa wakati ikisonga mbele. Ilipigwa ambushi. Hakuna aliyekufa.. Kifaru kimepigwa makombora mawili, Sema Wanajeshi wa Ukraine wapo makini.. Wakaruka chini wakaanza kushambulia adui akakimbia
 
Haya Magari yanaitwa Humvee, High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle (HMMWV). Hapa ni Kherson Frontline. Humvee porini inakimbia kama kwenye lami tu. Gari la Kimarekani. Convoy ya Ukraine
 
Hii bunduki inaitwa EDM4S Sky Wiper. Inavuta drones za Adui. Inachofanya inatengeneza sumaku na kukata mawasiliano ya remote. Sumaku inavuta drone hadi inafika chini. Unashikilia trigger huku mtutu ukiwa umeelekezea drone hadi itakapofika chini.
 
Wale Mobilized wameanza kugoma kwamba Wanaishi kama Wanyama, hawana chakula, hawana Mahema, hakuna matibabu, hawajalipwa, Mafunzo hayatoshi, wanatumia vifaa vya kizamani, hivyo hawataki kwenda Ukraine kupambana. Naona wengine wanaficha sura na kujificha.. Je, kambi zote zitagoma? Hawa ni Taman division na Belgorod wenyewe walipewa jina la Taman Division [the 2nd Guards Motor Rifle Division] Mwanajeshi anagoma? 🤣🤣Wanataka waelekezwe jinsi ya Kusurrender kama wakipelekwa Ukraine
 
Urusi ukiumia hawana msaada. Mwanajeshi wao Mkono umeoza bila tiba. Kajisalimisha, Ukraine wanampeleka Hospital. Wanajeshi wanapendekeza akatwe mkono ili akipona asibebe bunduki tena, wengine wanasema asamehewe
 
Back
Top Bottom