Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Taarifa kutoka Intelijensia ya UK leo
20221006_134300.jpg
 
Wanajeshi wengi wa Ukraine huwa naona wanakuwa na limkasi hapo mbele ni kwa ajili gani?
Mkuu, hili swali lako zuri sana. Nilikujibu kwa ufupi tu. Sasa nina muda ngoja twende deep kidogo. Ukiacha Silaha, Mwanajeshi anatakiwa awe na vifaa vya Msaada wa Kwanza vya kumsaidia au kusaidia mwenzake[military first aid kit]
1665060737465.png

Vipo vitu vingi vinatakiwa lakini kuna vitu vya Muhimu unatakiwa uwe navyo.
1665060798800.png

Sterile gauze bandage:
Hii Bandeji ina matumizi mengi: Kuzuia jeraha la mtu aliyeungua, kuzuia damu kuvuja. kurekebisha mfupa ulioteguka.
1665061380611.png

Bandeji ya Dharura:
Bandeji ya dharura pia inaitwa "bandeji ya Israeli" imeundwa mahsusi kusaidia wapiganaji kwa kujitegemea kutumia hata kwa mkono mmoja.
1665061587456.png

Plasta ya Kufungia jelaha
1665061695620.png

hemostatic Bandage
Hii ni bandeji fulani imekaa kama zig zag, yenyewe sio ya kuzungusha, kwani mtu anaweza pata jelaha sehemu ambapo ili ya kuzunguka haiwezi faa mfano Kifuani. So inatumika hii
1665061936037.png

Gloves. hivi mtu anavaa anapotoa hutumia ili kuzuia maambukizi na uchafu kuingia kwenye kidonda au kwa mtoa huduma.
1665062481407.png

Thermal blanket:
Hii kazi yake ni kutunza joto kukiwa na baridi, hii moto haupenyi hivyo unaweza jikinga na moto au jua kali, hii unaweza kingia maji kwenye mto au Maji ya mvua kama huna sehemu ya kubebea nk. Hii ipo kama ganda la ndani la pakti ya sigara ila yenyewe imara zaidi.
1665062611680.png

1665063102297.png

Tourniquet au CAT tourniquet: Hii unaifunga ili kuzuia damu kuvuja sana. Inazuia damu kupotea. Ipo kama ile ya kupimia presha hospitali ambayo wanafunga kwenye mkono.
1665063158235.png

Emergency Shears
Huu ni Mkasi wa kukatia nguo, Mkanda au kiatu ili kurahisisha utoaji huduma ya kwanza. Umetengenezwa kiasi kwamba kichwa hakiwezi jeruhi mwili unapokuwa unakata, kishikio ni Plastiki.
1665063337308.png

1665068558829.png
1665069637745.png

1665068658072.png

1665068753984.png

Marker Pen: Hizi ni kalamu imara za kuwekea alama kwenye tourniquet. Pia zinasaidia kuweka alama sehemu. Mfano kwenye mti au ubao kutoa ishara kwa wenzako wajue mumepita wapi. Pia unaweza kuandika kwenye nguo ya mtu alopoteza maisha muda na sehemu ili kuweka kumbukumbu sawa. Hii inahimili hali zote za hewa. Haifutiki kwa urahisi
1665063725501.png

Nasopharyngeal Airway: Hii inasaidia kupitisha hewa.
1665064117011.png

jeshi.png

Hivi ni baadhi ya vitu unavyoviona kwenye hilo begi la kifuani ambalo pia halipitishi risasi. hivyo ni kinga
 
Mkuu, hili swali lako zuri sana. Nilikujibu kwa ufupi tu. Sasa nina muda ngoja twende deep kidogo. Ukiacha Silaha, Mwanajeshi anatakiwa awe na vifaa vya Msaada wa Kwanza vya kumsaidia au kusaidia mwenzake[military first aid kit]
View attachment 2378849
Vipo vitu vingi vinatakiwa lakini kuna vitu vya Muhimu unatakiwa uwe navyo.
View attachment 2378854
Sterile gauze bandage:
Hii Bandeji ina matumizi mengi: Kuzuia jeraha la mtu aliyeungua, kuzuia damu kuvuja. kurekebisha mfupa ulioteguka.
View attachment 2378864
Bandeji ya Dharura:
Bandeji ya dharura pia inaitwa "bandeji ya Israeli" imeundwa mahsusi kusaidia wapiganaji kwa kujitegemea kutumia hata kwa mkono mmoja.
View attachment 2378865
Plasta ya Kufungia jelaha
View attachment 2378867
hemostatic Bandage
Hii ni bandeji fulani imekaa kama zig zag, yenyewe sio ya kuzungusha, kwani mtu anaweza pata jelaha sehemu ambapo ili ya kuzunguka haiwezi faa mfano Kifuani. So inatumika hii
View attachment 2378871
Gloves. hivi mtu anavaa anapotoa hutumia ili kuzuia maambukizi na uchafu kuingia kwenye kidonda au kwa mtoa huduma.
View attachment 2378875
Thermal blanket:
Hii kazi yake ni kutunza joto kukiwa na baridi, hii moto haupenyi hivyo unaweza jikinga na moto au jua kali, hii unaweza kingia maji kwenye mto au Maji ya mvua kama huna sehemu ya kubebea nk. Hii ipo kama ganda la ndani la pakti ya sigara ila yenyewe imara zaidi.
View attachment 2378876
View attachment 2378886
Tourniquet au CAT tourniquet: Hii unaifunga ili kuzuia damu kuvuja sana. Inazuia damu kupoea
View attachment 2378888
Emergency Shears
Huu ni Mkasi wa kukatia nguo au kiatu ili kurahisisha utoaji huduma ya kwanza. Umetengeneza kiasi kwamba kicha hakiwezi jeruhi mwili unapokuwa unakata, kishikio ni Plastiki.
View attachment 2378897
Marker Pen: Hizi ni kalamu imara za kuwekea alama kwenye tourniquet. Pia zinasaidia kuweka alama sehemu. Mfano kwenye mti au ubao kutoa ishara kwa wenzako. Pia unaweza kuandika kwenye nguo ya mtu alopoteza maisha muda na sehemu ili kuweka kumbukumbu sawa. Hii inahimili hali zote za hewa. Haifutiki.
View attachment 2378904
Nasopharyngeal Airway: Hii inasaidia kupitisha hewa.
View attachment 2378911View attachment 2378925

Safi mkuu nimejifunza kitu apa
 
View attachment 2378955View attachment 2378965
View attachment 2378957
View attachment 2378959
Marker Pen: Hizi ni kalamu imara za kuwekea alama kwenye tourniquet. Pia zinasaidia kuweka alama sehemu. Mfano kwenye mti au ubao kutoa ishara kwa wenzako. Pia unaweza kuandika kwenye nguo ya mtu alopoteza maisha muda na sehemu ili kuweka kumbukumbu sawa. Hii inahimili hali zote za hewa. Haifutiki.
View attachment 2378904
Nasopharyngeal Airway: Hii inasaidia kupitisha hewa.
View attachment 2378911View attachment 2378925
Hivi ni baadhi ya vitu unavyoviona kwenye hilo begi la kifuani ambalo pia halipitishi risasi. hivyo ni kinga
Yote ya nini hayo jamani? Hivi kwa ustaarabu ambao dunia imefikia haiwezekani dunia ikakubaliana kuachana na vita? Kuifanya dunia mahali salama pa kuishi? Inauma sana!
 
Tatizo ni wanasiasa. Wao wanakwambia ukapigane huku wao wamekaa kwenye air conditioner. Ufe usife ni juu yako. Hutaki wanakushughulikia. Akili za wanasiasa wanazijua wao.
 
Back
Top Bottom