Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Kweli aisee jamaa napelekwa puta. Sijui kama anapataga tena usingizi. Dah! Yani kile wanasemaga "utaona kilichomnyoa kanga manyoya" ndo hiki sasa.9P140 Uragan 220mm multiple rocket launcher ya Urusi imekamatwa Kherson
View attachment 2379198View attachment 2379199
Safi mnoo. Uchukueni halafu mumfowardie chap.
Kweli kwa kitafunwa hiki usingizi kwa mbaali nautafutaInatosha. Kama kuna mtu bado anaamini Warusi hawafi ana matatizo ya akili
View attachment 2379172View attachment 2379173
Mbona hili dude linaonekana kama ni chakavu vile? Mrussi anayo kila sababu ya kukung'utwa. Yaani kila kitu cha Mrussi ni gagari - askari wachovu, vifaa chakavu na vya zamani, mbinu zake shaghalabaghala ila kutimua mbio na kutelekeza mizigo ah! Alhamdulillah hajambo.9P140 Uragan 220mm multiple rocket launcher ya Urusi imekamatwa Kherson
View attachment 2379198View attachment 2379199
Naam! ......Hawakufika mbali na vibakuli vyao kichwani. Hiyo ndo lugha Mrussi anaelewa kwa wepesiWalijifanya kukimbia kwa gari baada ya kuambiwa mikono juu. Hawakufika mbali
View attachment 2379196
Ni kitu ya jana kumbe - Kitu hii bado ya moto sana haijapoa. 🔨 🔨Hawa ni Wanajeshu wa Georgia wanaosaidia Ukraine. Hapa wakionesha jinsi walivyopiga Ambushi Convoy ya Urusi maeneo ya Davydiv Brid, mkoani Kherson 5 October 2022
View attachment 2379214
Yeah. Akili mu kichwa.Mwenzao alojisalinisha anakula vinono
View attachment 2379194
Kumbuka hii imeletwa kuua. Sio mapambo Mkuu..Mbona hili dude linaonekana kama ni chakavu vile? Mrussi anayo kila sababu ya kungutwa. Yaani kila kitu cha Mrussi ni gagari - askari wachovu, vifaa chakavu na vya zamani, mbinu zake shaghalabaghala ila kutimua mbio na kutelekeza mizigo ah! Alhamdulillah hajambo.
Ujanja wa nyani kula mahindi mabichi.Kuna wale walijifanya kutoroka na school bus kule Lyman. Hii Video sikupost
View attachment 2379190
"Urusi wanatumiwa zawadi usiku na mchana" Sawa kabisa -hakuna kulala ni mpaka kieleweke.Urusi wanatumiwa zawadi usiku na mchana
View attachment 2379183
Sawa kabisa mkuu; lakini, inamaana stooni kwake hakuna tena iliyobakia walau mpya kidogo zimeisha? Hili hata taa halina, limebondeka-bondeka utadhani gari la kubeba mkaa.😁😁Kumbuka hii imeletwa kuua. Sio mapambo Mkuu..
Kama wao wenyewe hawataki kujisalimisha Watwangwe tu, wamalizeni. Inamaana hawataki kurudi Urussi tena - hawana hamu na Putin. Wameona ni Bora waishie hapo-hapo.Urusi Kherson wanakufa kama sisimizi. Bora wajisalimishe tu. Tutawamaliza
View attachment 2379177View attachment 2379178View attachment 2379179View attachment 2379180